Msaada TUTANI kuhusu ps2

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,633
2,000
Nimenunua flash disc 32 gb nimeweka game
Cha ajabu ni kwamba kila nilihitaji kucheza hizo game hazisomi nikienda kwenye zile file nayaona nikiselect inasema "This isn't Efl"

Ni ipi solution ya hii error

Boss, Game za PS haziwekwi kwenye flash kama unaweka nyimbo au movie ukaangalie kqenye deki au TV yako

Hizo game zinakuwa forced kwenye flash kwa File system maalumu ambayo PS yako inatambua.

Kwa hiyo watafute watu maalumu wenye kazi hiyo wakuwekee hizo game kwenye flash na sio kusend kama unaweka nyimbo
 
Apr 13, 2017
84
125

Nilifanya hivyo mkuu wameweka
Na zinagoma kusoma na sasa hivi niko mbali na hao wanao yaingiza
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,487
2,000
Nimenunua flash disc 32 gb nimeweka game
Cha ajabu ni kwamba kila nilihitaji kucheza hizo game hazisomi nikienda kwenye zile file nayaona nikiselect inasema "This isn't Efl"

Ni ipi solution ya hii error
Unamaanisha Elf na sio Efl sio?

Kwenye flash kuna nini na nini?

Hio flash ni fat exfat ama Ntsc maana system zote za zamani zinasupport Fat Hakikisha wakati WA kuiformat hio flash ulichagua hio Fat.
 
three phase

Member
Mar 31, 2021
63
150
Nimenunua flash disc 32 gb nimeweka game
Cha ajabu ni kwamba kila nilihitaji kucheza hizo game hazisomi nikienda kwenye zile file nayaona nikiselect inasema "This isn't Efl"

Ni ipi solution ya hii error
Ilo ttz sio game kuna file ukibana game wanatakiwa wakuweke ambalo kazi ya ilo file ni kuanzisha game
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom