Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mitandao mizito sana na mvua hii basi ndio kabisa inakatakata kama tanesco na umeme na mvua na ukiwa na shida unataka kusolve kitu kwa haraka basi ndio inakuwa balaa tupu.. Wadau hebu tupieni...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini za usiku ndugu, Naomba kuuliza kwa 500,000 ,nahitaji TV flat screen kuanzia inches 43-45 naweza kupata kampuni gani kati ya aborder, Panasonic, TCV au Samsung. Naombeni msaada kwa...
1 Reactions
30 Replies
9K Views
Wadau napenda kuwatangazia kuwa Sasa bei zetu ni karibu na bure kabisa, na hii ni kwa ajili ya msimamu huu wa sikuu.Huduma zetu ni kama ifuatavyo 1. Website designing 2.Forums and Ecommerce...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Heshima kwenu wakuu, Naombeni ushauri, ni simu gani ya Samsung Note series ni nzuri kwa matumizi hasa hasa ukizingatia uwezo wa betri pamoja na RAM. Kuna mtu kaniambia nichukue Samsung Galaxy...
1 Reactions
73 Replies
21K Views
Kati pita pita zangu mikoa tofauti nimeshakutana na magari katha ya mebeba hicho kifaa mfano Arusha, mwanza, Kilimanjaro . Wakuu kama kuna mtu mwenye uelewa naomba atupe maelezo. A) jina la hicho...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tanzania ni nchi moja ya ajabu ambo watu wake wengi ni wabinafsi kupita maelezo, mwanzoni walimbeza sana Fernandez na hii naongea kwa experience Kuna ambao niliwauliza kuhusu Nala na Fernandez...
20 Reactions
63 Replies
6K Views
Habari za leo wadau, Nombeni msaada kwenye hili, nina invetor watt 150, battery (sundar N18) na panel sundar watt 30 na nimetumia waya wa 1.5mm kutokea kwenye sollar panel kuleta umeme kwenye...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Lain za TTCL Mpya zina PIN code Kila ukiwasha simu lazima uweke, haya nimeweka laini kwenye Modem, it is locked, where do I insert zile PIN Sasa?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mtu tajiri zaidi duniani bwana Elon Musk amempatia ofa ya $5000 kijana Jack Sweeney ili aiondoe program inayofuatilia safari zote za ndege yake binafsi na kuziweka hadharani kwenye ukurasa wa...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Yaani nataka kufunga dish langu kwa mfano la Azam au Startimes au Zuku ila naweka ile l.n.b bila lile lisahani lake je nikiunganisha hivyo nikaenda kuwasha TV yangu itaonyesha picha?
2 Reactions
70 Replies
4K Views
Habari ya leo wakuu, samahani Nahitaji kununua Laptop kwa ajili ya matumizi Katika shughuli zangu Kazi nnazo hitaji kuzifanya zaidi ni kuandika vitabu, kutengeneza matangazo, posters n.k...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
1.Windows 2.Tally 3.Excel
0 Reactions
5 Replies
899 Views
Jaman Naombeni kufahamu ISP gani Hapa Tanzania yupo vizuri kwenye huduma ya Internet services na Emails? Me binafsi Niliwatumia SimbaNet Siwaelewi vizuri Nataka kuwapiga chini na kutafuta wengine...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wasalaam, Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kutumia Nokia Fulani hv siikumbuki ni model gani lakini ilikuwa ni ya button. Simu ile ilikuwa na uwezo katika...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mwaka juzi nilikuwa nina line ya tigo. Cha kushangaza ilikuwa inanifanya naperuzi kwa browser ya UC mini na opera bure kabisa pasipo mb. Yaani nilikuwa nagoogle kisha nadownload...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Elon Musk alimfuata DM dogo wa miaka 19 twitter ambaye ametengeneza bot yenye jina la ElonJet na bots nyingine zinazofuatilia location za matajiri. Alimuuliza hizo bot zinamwingizia kiasi gani...
12 Reactions
15 Replies
2K Views
Naitaji mother board Dell optiplex mwenye nayo anicheki
2 Reactions
3 Replies
844 Views
Simu zake mbona kama bei rahisi sana? Yani note 20 utra eti kwa laki 6 Note 10+ laki 5?
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kama heading inavyojieleza: Nahitaji stylus pen inayoweza tumika kwenye any touch screen device; both Android, iOS devices or 2 in 1 laptops. Nipo Dar. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kampuni ya Samsung wameachia updates ya os ya Android 12 ama UI 4 kuanzia tarehe 15 mwezi huu kwa simu za Samsung Galaxy S21 Ultra. Ila hii updates ilianzia huko Marekani, Ulaya na Korea Kusini...
2 Reactions
63 Replies
7K Views
Back
Top Bottom