Tv yangu ina zima kila baada ya masaa 3

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,215
39,040
Wakuu wale wajuzi wa mambo, toka nirud safari hapa home nilimwacha mtu kwa ajili ya ulinzi. Sasa toka nirud nikiingalia tv inatokea notification kama hio then ukiacha inajizima, before haikuwa hvo, brand ni Hisense

Naombeni msaada wa kutoa hio setting anaejua
IMG_5996.jpg
 
Wakuu wale wajuzi wa mambo, toka nirud safari hapa home nilimwacha mtu kwa ajili ya ulinzi. Sasa toka nirud nikiingalia tv inatokea notification kama hio then ukiacha inajizima, before haikuwa hvo, brand ni Hisense

Naombeni msaada wa kutoa hio setting anaejuaView attachment 1637540
Kwenye timer seting kaseti masaa hayo ikitokea hivyo chukua remoti yake swich off

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo TV inayo sensor maalum hapo karibu na lebo ya jina la TV, hiyo sensor kazi yake huwa inawaka baada ya muda fulani kuangalia kama kuna mtu ana-agalia TV. Kama hakuna mtu TV hiyo inazima kwa sababu umewasha sehemu ya power saver. Ndio maana inatoa maandishi kuhakiksha kama kuna mtu au lah! yaani inakupa tahadhari kuwa itazima baada ya muda fulani kama upo karibu basi bonyeza kitufe chochote kuashiria kama upo.

Tatizo la kuzima kila baada ya dakika kadhaa hii inatokana na kuwa umewasha sehemu ya power saver alafu TV yako ipo juu kiasi kwamba hiyo sensor inapo waka inakuta hakuna mtu mbele hivyo inataka kuzima kwa sababu inaona hakuna mtu yoyote mbele.

Jinsi ya kutatua tatizo hili zima power saver kupitia kwenye sehemu ya settings. Lakini kumbuka power saver ni muhimu kwani ukiwa umezinzia au umesahau TV on kwa bahati mbaya TV yako itajizima yenyewe pale ambao itaona hakuna mtu mbele yake au hakuna movmnt. Hope this help...
 
Aisee... hii Elimu muruaa kabisaaa... nimepata kitu kipya..
 
Sehemu hiyo ni lazima kwa TV zinazouzwa (European) na pia ni sehemu ya sheria ya Energy Star compliance ya USA.
 
Hiyo TV inayo sensor maalum hapo karibu na lebo ya jina la TV, hiyo sensor kazi yake huwa inawaka baada ya muda fulani kuangalia kama kuna mtu ana-agalia TV. Kama hakuna mtu TV hiyo inazima kwa sababu umewasha sehemu ya power saver. Ndio maana inatoa maandishi kuhakiksha kama kuna mtu au lah! yaani inakupa tahadhari kuwa itazima baada ya muda fulani kama upo karibu basi bonyeza kitufe chochote kuashiria kama upo.

Tatizo la kuzima kila baada ya dakika kadhaa hii inatokana na kuwa umewasha sehemu ya power saver alafu TV yako ipo juu kiasi kwamba hiyo sensor inapo waka inakuta hakuna mtu mbele hivyo inataka kuzima kwa sababu inaona hakuna mtu yoyote mbele.

Jinsi ya kutatua tatizo hili zima power saver kupitia kwenye sehemu ya settings. Lakini kumbuka power saver ni muhimu kwani ukiwa umezinzia au umesahau TV on kwa bahati mbaya TV yako itajizima yenyewe pale ambao itaona hakuna mtu mbele yake au hakuna movmnt. Hope this help...

Sijawai kuwa na hii elimu asee
 
Thanks Bro
 
Back
Top Bottom