Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Wanajukwaa habari zenu.
Naomba kujua kama kuna njia au kampuni inayojishughulisha na huduma za kuagiza vitu online (mfano kama ilivyo Alibaba) toka Kenya kuja bongo.
Naona Bongo baadhi ya simu ambazo bado hazina majina zinauzwa bei ghali sana ukilinganisha na Kenya, mfano hizi Infinix, Oppo, nk.
Mwenye kujua naomba msaada, pamoja na gharama zao wanazotoza kwenye usafirishaji.