Naomba nisaidiwe kurudisha email yangu

Naomba nisaidiwe kurudisha email yangu

Strong25

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2021
Posts
466
Reaction score
1,048
Naombeni msaada,

Nataka kurudisha email yangu ya zamani ila tatizo number niliofunguliaga haiko hewani ishapoteaga na wala sina recovery email yani zaidi yakukumbuka jina la email yangu sikumbuki chochote.

Nilishahangaika mtandaoni ila nimeshindwa maana inataka kutuma verification kwenye ile namba niliofunguliaga afu ile namba haiko hewani.

Msaada please
 
Hata mie nina email zangu mbili zina data zangu nilizipandisha huko
 
Karenew hiyo namba ulotumia kusajilia email, that's the only solution.
 
Back
Top Bottom