Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Teknolojia inapitia changamoto nyingi pale jambo jipya linakuja na kupokelewa kwa tafisiri mbaya au kuogopa. Miaka ya iliyopita teknolojia ya barua pepe ilivoingia basi mashirika ya barua...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hello wanajamvi natumaini mko njema tukiendelea kupambana na hali ya Baba Wa Taifa Kwa kifupi ndugu zangu nahitaji kununua simu aina ya Oppo lkn nilipo upatikanaj wake mdogo n kupata ile...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna tofati gani kati ya volt Watt na Ampia? Unakuta Adapter inatoa volt 12 ina Ampia 2. Au unakuta charger ya simu inatoa volt 5 na Ampia ni 1.5 au 2? Au unakuta Tv guard au volt guard...
1 Reactions
14 Replies
9K Views
Habari, Msaada, Nahitaji kampuni nzuri ya kugawa mtandao (ISP) mwenye kifurushi poa na mwenye coverage kubwa (Zuku, Simbqnet na Cats hawana coverage huko). Mteja yuko Chamazi Mbagala
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Hello Tech members Moja kati ya maswali yanayojirudia rudia sana kwenye ulimwengu wa Teknolojia ni "Nijifunze kipi Kati ya Language Y na Language X Au kati ya Framework Y na Framework X?" Kwa...
5 Reactions
38 Replies
6K Views
I am looking for recommendations on where I can get short course on Data Science with R Programming language..
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ikiwa umefungua akaunti ya paypal ya kenya kwa kutumia namba ya safaricom, kuna probability tatu. 1. Hutodaiwa kuverify chochote utaitumia kwa muda flani mpaka siku ya siku ndipo wakudai uverify...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wale ambao mlikuwa mnapata tabu ya makato pale mnapoenda kudraw pesa kwakutumia payoneer mastercard sasa airtel wamesolve hilo shida. Airtel wana huduma ya kuhamisha pesa kutoka mastercard au...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Mitandao mizito sana na mvua hii basi ndio kabisa inakatakata kama tanesco na umeme na mvua na ukiwa na shida unataka kusolve kitu kwa haraka basi ndio inakuwa balaa tupu.. Wadau hebu tupieni...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini za usiku ndugu, Naomba kuuliza kwa 500,000 ,nahitaji TV flat screen kuanzia inches 43-45 naweza kupata kampuni gani kati ya aborder, Panasonic, TCV au Samsung. Naombeni msaada kwa...
1 Reactions
30 Replies
9K Views
Wadau napenda kuwatangazia kuwa Sasa bei zetu ni karibu na bure kabisa, na hii ni kwa ajili ya msimamu huu wa sikuu.Huduma zetu ni kama ifuatavyo 1. Website designing 2.Forums and Ecommerce...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Heshima kwenu wakuu, Naombeni ushauri, ni simu gani ya Samsung Note series ni nzuri kwa matumizi hasa hasa ukizingatia uwezo wa betri pamoja na RAM. Kuna mtu kaniambia nichukue Samsung Galaxy...
1 Reactions
73 Replies
21K Views
Kati pita pita zangu mikoa tofauti nimeshakutana na magari katha ya mebeba hicho kifaa mfano Arusha, mwanza, Kilimanjaro . Wakuu kama kuna mtu mwenye uelewa naomba atupe maelezo. A) jina la hicho...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tanzania ni nchi moja ya ajabu ambo watu wake wengi ni wabinafsi kupita maelezo, mwanzoni walimbeza sana Fernandez na hii naongea kwa experience Kuna ambao niliwauliza kuhusu Nala na Fernandez...
20 Reactions
63 Replies
6K Views
Habari za leo wadau, Nombeni msaada kwenye hili, nina invetor watt 150, battery (sundar N18) na panel sundar watt 30 na nimetumia waya wa 1.5mm kutokea kwenye sollar panel kuleta umeme kwenye...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Lain za TTCL Mpya zina PIN code Kila ukiwasha simu lazima uweke, haya nimeweka laini kwenye Modem, it is locked, where do I insert zile PIN Sasa?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mtu tajiri zaidi duniani bwana Elon Musk amempatia ofa ya $5000 kijana Jack Sweeney ili aiondoe program inayofuatilia safari zote za ndege yake binafsi na kuziweka hadharani kwenye ukurasa wa...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Yaani nataka kufunga dish langu kwa mfano la Azam au Startimes au Zuku ila naweka ile l.n.b bila lile lisahani lake je nikiunganisha hivyo nikaenda kuwasha TV yangu itaonyesha picha?
2 Reactions
70 Replies
4K Views
Habari ya leo wakuu, samahani Nahitaji kununua Laptop kwa ajili ya matumizi Katika shughuli zangu Kazi nnazo hitaji kuzifanya zaidi ni kuandika vitabu, kutengeneza matangazo, posters n.k...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
1.Windows 2.Tally 3.Excel
0 Reactions
5 Replies
899 Views
Back
Top Bottom