Je naweza pata kioo cha Lg TV flat screen 43 inches

Abdalah Lyimo

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
246
250
Wakubwa TV yangu aina ya Lg ni flat screen ina ukubwa wa inch 43 Jana nikiwa napanga vitu ilianguka na kujigonga kwenye ncha ya meza upande wa kioo hivyo kupelekea kupasuka na kuvujia wino naomba kujua kama inaweza kubadilishika kioo na bei yake tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom