Msaada wa iphone xs max ya USA vs iphone xs max ya China

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
575
250
Habari za muda huu ndugu zangu nilikuwa na shida moja ya kufahamu je kunatofauti gani kati ya iphone zinazo toka USA na hizi iphone kutoka nchi zingine?? Mfano mm nilikuwa nataka iphone ya XS MAX from USA(LL)256GB used.

Muuzaji alinitajia bei ya 1.3M ila nilivyouliza iphone from china muuzaji aliniambia kwa used ni 900K na kwa unbox ni 1.2 hadi 1.15M. sasa nataka kujua je kuna tofauti gani kati ya hizi simu za iphone zilizotoka USA na hizo zinazotola nchi nyingine mfano UK,CANADA na CHINA?

Katika upande wa matumizi mfano camera,power na kadhalika. reyzzap Chief-Mkwawa.
 
Smartkahn

Senior Member
Jun 22, 2020
118
250
Utofauti wake ni mdogo sana ambao kwa matumizi yetu hapa bongo sio muhimu.

iPhone za China haisupport FaceTime, inasemekana haisaport pia WhatsApp.

Ila hizo za USA zina support FaceTime na WhatsApp na pia zina support mifumo tofauti tofauti ya mitandao.

Ila specifications zingine zote zinafanana kama vile
Ubora
Camera
Battery
RAM
Storage capacity, nk...
NB kuwa makini na hao wauzaji, hakikisha unakijua vizuri kwaundani unachonunua.
 
Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
575
250
Iphone ni iPhone tu, hapo kuna harufu ya kupigwa, usije tu ukauziwa clone.
Hamna chief si clone coz siyo mara yangu ya kwanza kununua simu kwao tena kama unawajua wana jiita eshop(huyu yeye ana deal na simu used from USA na nyingine ni freeshop( hawa wana deal na simu za nje ya usa)na nimesha wahi nunua simu kama iphone6, 7,nikaja tena iphone 8+ ingawa niliziuza na kila napoenda ofisini kwao lazima waniuliza unataka za USA au from china na wakanifundisha jinsi ya kuangali model ya simu na kujua kama ya china au ya USA au canada(original country) mfano za usa kabla ya / lazima uandikiwe LL china wao ni CH hivyo na kadhalika inagwa sikupataga bahati ya kuwauliza kwanini za USA wanauza ghali sana. Na kingine walichowahi niambiaga ukiona simu chini ya 11 plain mfano hizi xs mas na ukakuta battery health ni 100%(most za usa BH yake ni chini ya 95) harafu model inasoma ni USA hapo usipoteze muda ujue tu amebadilisha battery. Ila za china kwakuwa ni REUSE nyingi hivyo hata kupata full box ni rahisi sana kwakuwa zinarudishwa kiwandani. Na watu wengi sana watanzania wana tumia iphone za china ila hawajui.
 
Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
575
250
Utofauti wake ni mdogo sana ambao kwa matumizi yetu hapa bongo sio muhimu.

iPhone za China haisupport FaceTime, inasemekana haisaport pia WhatsApp.

Ila hizo za USA zina support FaceTime na WhatsApp na pia zina support mifumo tofauti tofauti ya mitandao.

Ila specifications zingine zote zinafanana kama vile
Ubora
Camera
Battery
RAM
Storage capacity, nk...
NB kuwa makini na hao wauzaji, hakikisha unakijua vizuri kwaundani unachonunua.
Haisupport whatsapp kivipi coz mm nilikuwa nayo from CH lakini zinapiga kazi fresh tu au sijakupata
 
Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
575
250
Kitu peke ambacho niliwahi kukiona nj kwenye kubypass au kuremove i cloud kwakutumia checran simu za china nilikuwa nazitoa flesh tu ila nikiletewa za USA kwa kweli zilikuwa zinagoma kubypass mpaka leo mtu akitaka kubypass iphone namwambia anitumie kwanza model nikiona tu LL najua hapa hakuna biashara chapu naitema hiyo kazi
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,003
2,000
Hakuna iphone clone aisee ios haichakachuliki eti uibebe uiweke kwny body la tecno sahau hapo inawekwa android ikiwa na themes ya ios au luncher ya ios bt ni android
Sasa ukiwa theme ya ios na os ikiwa android sio clone? Unafahamu maana ya clone? Siku Zote clone haimaaanishi simu ni OG, hata hizo clone za Samsung ama simu nyengine ni substandard.
 
Smartkahn

Senior Member
Jun 22, 2020
118
250
Haisupport whatsapp kivipi coz mm nilikuwa nayo from CH lakini zinapiga kazi fresh tu au sijakupata
Inasemekana kuna baadhi walikutana na tatizo kama hilo sio zote

Pia nchi zetu hizi kuna features nyingi tu hazisaport sijajua kwa update za sasahivi izi.

Uzuri ni kwamba hizo features sio muhimu saana.
 
Heisenberg

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
1,255
2,000
Hamna chief si clone coz siyo mara yangu ya kwanza kununua simu kwao tena kama unawajua wana jiita eshop(huyu yeye ana deal na simu used from USA na nyingine ni freeshop( hawa wana deal na simu za nje ya usa)na nimesha wahi nunua simu kama iphone6, 7,nikaja tena iphone 8+ ingawa niliziuza na kila napoenda ofisini kwao lazima waniuliza unataka za USA au from china na wakanifundisha jinsi ya kuangali model ya simu na kujua kama ya china au ya USA au canada(original country) mfano za usa kabla ya / lazima uandikiwe LL china wao ni CH hivyo na kadhalika inagwa sikupataga bahati ya kuwauliza kwanini za USA wanauza ghali sana. Na kingine walichowahi niambiaga ukiona simu chini ya 11 plain mfano hizi xs mas na ukakuta battery health ni 100%(most za usa BH yake ni chini ya 95) harafu model inasoma ni USA hapo usipoteze muda ujue tu amebadilisha battery. Ila za china kwakuwa ni REUSE nyingi hivyo hata kupata full box ni rahisi sana kwakuwa zinarudishwa kiwandani. Na watu wengi sana watanzania wana tumia iphone za china ila hawajui.

Broo elewa

I phone ni iphone tuu As long as sio fake

Huo umalekani na uchina una implication 2.

1. Umarekani na uchina ni kwamba simu zinakuwa locked kwa mitandao husika na Network Band na baadae zinaweza funguliwa kama zinauzwa international

2. Umarekani na unachina unakuja kwamba, simu ikitoka USA ni marachache kukuta imebadilishwa kioo, camera, Touch ID na Battery hata Body yake au frame So ni simu inakuwa na vifaa vyake OH

While ikitoka china, unakuta kioo kishabadilishwa mara battery mara vitu vingine.

So hapochagua wewe.

Pia unaweza pigwa vile vile maana sijui kama una technics za kujua ipi ni ipi.

Ila katika model nimber huwa zinatofautiana
 
daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Apr 28, 2016
983
1,000
Habari za muda huu ndugu zangu nilikuwa na shida moja ya kufahamu je kunatofauti gani kati ya iphone zinazo toka USA na hizi iphone kutoka nchi zingine?? Mfano mm nilikuwa nataka iphone ya XS MAX from USA(LL)256GB used.

Muuzaji alinitajia bei ya 1.3M ila nilivyouliza iphone from china muuzaji aliniambia kwa used ni 900K na kwa unbox ni 1.2 hadi 1.15M. sasa nataka kujua je kuna tofauti gani kati ya hizi simu za iphone zilizotoka USA na hizo zinazotola nchi nyingine mfano UK,CANADA na CHINA?

Katika upande wa matumizi mfano camera,power na kadhalika. reyzzap Chief-Mkwawa.
Hakuna tofauti
 
Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
575
250
Kwa upande wangu mm na chezaga na model ya simu pamoja na IMEI info na U3 tool(kuangalia kama ilishawahi fanyiwa by pass na vitu vingine )
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
24,098
2,000
Hakuna iphone clone aisee ios haichakachuliki eti uibebe uiweke kwny body la tecno sahau hapo inawekwa android ikiwa na themes ya ios au luncher ya ios bt ni android
Kwa mtizamo huu utatandikwa mtikenge siku moja.

Acha nikutajie simu za iphone zinazoongoza kwa kuburuzwa.

Iphone 4,iphone 7plus,na iphone xs max,iphone 12pro max.kanuni inayotumika ni ile ile,body ya simu husika ila ni fake kila kitu.

Hata hizo android mnazoamini ndizo pekee zinaburuzwa haziwi halisi pia,ni fake.
 
Rama Q

Senior Member
Nov 10, 2015
122
250
Kitu peke ambacho niliwahi kukiona nj kwenye kubypass au kuremove i cloud kwakutumia checran simu za china nilikuwa nazitoa flesh tu ila nikiletewa za USA kwa kweli zilikuwa zinagoma kubypass mpaka leo mtu akitaka kubypass iphone namwambia anitumie kwanza model nikiona tu LL najua hapa hakuna biashara chapu naitema hiyo kazi

Na vipi mkuu ya korea nayo ni kama ya usa ama uk
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom