Msaada simu yangu imekataa kufungua app zote za Google

Msaada simu yangu imekataa kufungua app zote za Google

murume

Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
90
Reaction score
80
Wakuu naomba msaada simu yangu Huawei Y7 2018 prime imekataa kufungua app zote za Google na ku sync data pia kila nikiingiza email yangu ya account ya Google na password inakubali ila inaleta error ya we can not find an eligible device. Msaada plse kwa anayejua. Cc chief mkawa
 
Itakuwa labda hizo app za google ziliwekwa tu then baada ya update zimekataa.

Unatumia android gani?
 
Mara nyingi simu ambazo zinatumiwa Chinayaani special kwa watu wake kule app zote za Google zinagoma kuanzia, Gmail, you tube n.k ila nadhani ukienda kariakoo Kuna mafundi wanaweza kukusaidia kuirudisha katika ya hapa kwetu
 
Back
Top Bottom