Jinsi ya kum-tag mtu katika post

Jinsi ya kum-tag mtu katika post

jichopevu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
406
Reaction score
248
Habari wana JF-Science Forum

Nina tatizo na jinsi ya kum-tag mtu katika post au ku-link web au kitu katika post, je vitu hivyo viwili naweza kuvifanya vipi humu kwenye JF?..

Kama kuna uzi ambao ulishwahi kulizungumzia hili, naomba nijulishwe uzi huo ili niufuatilie na kama hamna basi naomba nifahamishwe.

Natanguliza shukrani.
Code:
mwana
 
Kumtag mtu anza na alama ya @ kama hivi @sn|pa

Tembelea hapa kwa maelezo zaidi https://www.jamiiforums.com/tech-ga...2509-for-jf-mobile-users-50.html#post13069653
 
std7 kama hivi hatari sana
 
Last edited by a moderator:
Hehehee hii post ya kitambo sana naona mkuu Kafiti umeitoa vichakani. Enzi hizo bado kuna mang'avung'avu ya kutumia JF. Kwa sasa niko poa. Ahsanteni sana wakuu snipa na std7
 
Sikusoma post-date, sorry sana.
Have a great day
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom