Msaada: Jinsi ya ku-install downloaded game katika ps3 kwa kutumia usb flash diskil

worms

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
964
893
Habari wapendwa ,

Nimefanikiwa kudownload game la PS3 "The evil within" kutoka torrent site, na sasa napata shida ni namna gani nitaweza install katika PS3 Jailbroken yangu.

Naona kila mbinu nitumiayo haikubali, Flash inakuwa ditected katika PS3 ila nikiingia katika games silioni game ninalohitaji yaani The evil within.

Naombeni msaada wenu wataalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wapendwa ,

Nimefanikiwa kudownload game la ps3 "The evil within" kutoka torrent site, na sasa napata shida ni namna gani nitaweza install katika ps3 jailbroken yangu.

Naona kila mbinu nitumiayo haikubali, Flash inakuwa ditected katika ps3 ila nikiingia katika games silioni game ninalohitaji yaani The evil within.

Naombeni msaada wenu wataalamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukienda kwenye XMB pale kwenye game angalia kama kuna sehemu imeandikwa install package
 
1.Nenda kwenye computer yako
2.chomeka hdd or flashdisk yako kwenye pc
3.create new folder and then rename GAMES kwa herufi kubwa
4. Tia hilo kwemu ndani ya folder
 
Hizo hatua za mwanzo za kuweka gemu katika folder nililoli-name GAMES nilifanya . na nililiweka katika flash disk.

Shida iliyopo ni kwamba nikiweka flash katika ps3 silioni hilo game....

Mafile mengine yote naweza yaona kupitia ps3 .. Ila game silioni katika Multiman au labda kuna kitu nakosea wadau..

Kwa changamoto hii mwafanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo hatua za mwanzo za kuweka gemu katika folder nililoli-name GAMES nilifanya . na nililiweka katika flash disk.

Shida iliyopo ni kwamba nikiweka flash katika ps3 silioni hilo game....

Mafile mengine yote naweza yaona kupitia ps3 .. Ila game silioni katika Multiman au labda kuna kitu nakosea wadau..

Kwa changamoto hii mwafanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
tafuta external fat32 formatted uweke hizo games, huwezi cheza games za ps3 toka kwenye flash disk
 
Back
Top Bottom