Fahamu Jinsi ya ku Stabilize Video za Simu Yako

kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
8,514
7,909
Habari za siku wakuu,leo kuna simple tutorial yakuweza stabilize video ulizo record kwa simu yako kwa njia rahisi sana,na kupitia app common sana.
Video stabilization ni nini?

Ni algorithm ndani ya Camera ya simu yako,kazi yake kubwa ni kuondoa au kupunguza video shaking wakati una record video zako,hii husababishwa na Mkono wenyew kutetemeka,au mtu akakutingisha kwa bahat mbaya na kupelekea video yako ikawa Ina cheza cheza sana.

Baadhi ya simu kubwa sana sana flagship au hata baadhi ya midrange zimepewa uwezo huo ndani ya camera ya simu yenyew,hii hujulikana kama OIS au EIS depend na tech husika.
Sasa basi simu nyingi za Watanzania ni midrange na hazina hii feature, hivyo watu wanarecord video zinatetemeka kama Generator ,unaboreka? Usijali nitakupa simple technique.

Well,Tutatumia Google photo ku stabilize video zetu zote,wengi mko nayo hii app,kama huna nenda playstore kapakue,kama unayo basi make sure ipo updated ili kupata hii feature.
Baada ya kupakua Google photo,ifungue utaona video zako ulizo shoot,basi wew fungua video unayotaka ku stabilize na fuata hizi step
1.Fungua google photo,kisha open video yako ,ukisha ifungue na gusa katikat kama unataka play ,utaona option ya edit,

2.Baada ya kugusa edit utaona alama ya speaker,mbele yake kuna alama ya pembe nne imelalala kama kwa kugeuka.Yes paguse hapo kisha process itaanza.

3.Baada ya process kumaliza unaweza press play kupreview matokeo,ukiridhika click save copy,na video yako itakua saved kweny simu yako na hutoona au utakua umepunguza ile shaking iliyokuepo mwanzo.

4.Done,najua zipo advance app kwaajil ya stabilization,ila hii ni rahis na kwakua wengi tunayo.

Enjoy guys.
IMG_20220517_164651.jpg
IMG_20220517_164449.jpg


View attachment 2228243
 

Attachments

  • IMG_20220517_164155.jpg
    IMG_20220517_164155.jpg
    80.8 KB · Views: 35
  • IMG_20220517_164529.jpg
    IMG_20220517_164529.jpg
    61.5 KB · Views: 34
Back
Top Bottom