Hell2Heaven
Senior Member
- Mar 3, 2021
- 173
- 465
Tatizo la Pc kustuck ghafla na kutoa mlio flan kama jenereta uku picha ikiganda ni mpaka uzime uchomoe waya wa cable itulie kwa dakika 10-30,ndio uwashe na ukiwasha ukiangalia movie kwa dakika 35 ,tena ina ganda na kutoa mlio usipo izima haiach italia hivyo mpaka siku nzima.
Je hii husababishwa na nini? na tatuaje??
Je hii husababishwa na nini? na tatuaje??