mwampepec JF-Expert Member Joined Mar 22, 2013 Posts 486 Reaction score 237 May 21, 2022 #1 Tafadhalini sana waungwana mimi account yangu imefungiwa na ninapo jaribu ku rest password wananidirect kwenye email isiyo yangu so nifanyaje hapo
Tafadhalini sana waungwana mimi account yangu imefungiwa na ninapo jaribu ku rest password wananidirect kwenye email isiyo yangu so nifanyaje hapo
Mr sule JF-Expert Member Joined Oct 14, 2021 Posts 606 Reaction score 1,115 May 21, 2022 #2 mwampepec said: Tafadhalini sana waungwana mimi account yangu imefungiwa na ninapo jaribu ku rest password wananidirect kwenye email isiyo yangu so nifanyaje hapo Click to expand... haijafungiwa ila umedukuliwa.
mwampepec said: Tafadhalini sana waungwana mimi account yangu imefungiwa na ninapo jaribu ku rest password wananidirect kwenye email isiyo yangu so nifanyaje hapo Click to expand... haijafungiwa ila umedukuliwa.