Naomba muongozo namna ya kupata Masomo online

Jay10

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
709
533
Habar ya wakat huu wana JF?

Mimi ni kijana mjasiriamali, elimu yangu ni juu (kibongo bongo) ngaz ya shahada (degree).

Tang nikiwa mdgo nimekuwa na hamasa/kuvutiwa xana na mambo ya kisanaa hasa uchoraji na ugizaji kwa upande wa uchoraji nimefanya sana nikiwa shule za msingi na sekondari kidgo mana mambo yalianza kuwa mengi, na kwakuwa nilikuwa nikifanya uchoraji kama sehem ya kujifurahisha, sikutilia maanan sana.

Nikiwa chuon nilisoma mambo ya mipango lakin nikijarb kufuata “passion” yang ya sana uchoraji kutoka kwa wanafunzi wa sanaa (pure Art)....lakin kutokana na muda na nafasi sikuweza kufkia malengo ya ufanisi stahili had namaliza masomo.

Ss kutokana na shughul na majukumu (kifamilia) kuwa mengi bas nataman kupata fursa ya kujifunza tena kwa muda ninanopata kutia mtandaoni. Nataman kujifunza hasa kuhusu Graphic designs (natambua imegawanyika).

Hvyo bas baada ya kahistoria kafupi, naomba muongozo kwa wadau na wnye uzoefu juu ya masuala niliyozungmzia na “hobby” yang, ya kwamba nawezapata mafunzo ONLINE classes hatimaye nikawa competent au kumaster hii “Course _graphic designs”? Je online Class gan nawezapata hayo mafunzo?


asanteni ....Nawasilisha ndugu zang....kwa maoni, ushaur, ujuzi, wazo n.k
 
Udemy , course zake zinatolewa kwa bei kidogo rafiki ,mafano saizi zimeshuka kutoka 100+k - 21k (offer)
Screenshot_20220518-222618.png
 
Back
Top Bottom