Ushauri wa haraka kuhusu simu

Umuzukuru

JF-Expert Member
May 30, 2019
609
540
Habari za siku ndugu zangu wa JF natumai mko salama na wazima wa afya kabisa

Naombeni ushauri wa juu ya aina ya simu ambayo inaweza kufaa kusogezea siku hasa kwa wadau wa mambo haya ya teknolojia

Aina ya simu ni Xiaomi Redmi 9c vs Infinix Hot 10i

Nb ni ushauri wa haraka ndio maana nimeuweka huu uzi jukwaa la hoja mchanganyiko kwa maoni ya wengi na ya haraka zaidi

Screenshot_20220328-120608~2.png

Screenshot_20220328-120858~2.png
 
Kwa hizo mbili infinix ni nzuri zaidi. Sema kama budget inafika 280,000 tafuta Redmi 9 (na sio 9C) yenyewe ni simu nzuri zaidi.

Ipo pia Samsung A03 (na sio A3s ama A3 core) nayo inapatikana bei hizo hizo ni simu nzuri nayo.
 
SPARE = a duplicate part to replace a lost or damaged part of a machine/gadget.

ukihitaji tafsiri ya kiswahili nijulishe pia.

athari ya kwenda garage moja kwa moja baada ya kumaliza darasa la saba, mnaishia kukariri neno kuwa na maana moja tu.
Asante mkuu.
 
Kwa hizo mbili infinix ni nzuri zaidi. Sema kama budget inafika 280,000 tafuta Redmi 9 (na sio 9C) yenyewe ni simu nzuri zaidi.

Ipo pia Samsung A03 (na sio A3s ama A3 core) nayo inapatikana bei hizo hizo ni simu nzuri nayo.
Bajeti ni isizidi tu 300k
Redmi 9 nimetafuta hapa bongo sijui hamna

Halafu kuna wapigaji pia yaani huko madukani kila mtu na bei yake😂😂😂😂
 
Bajeti ni isizidi tu 300k
Redmi 9 nimetafuta hapa bongo sijui hamna

Halafu kuna wapigaji pia yaani huko madukani kila mtu na bei yake😂😂😂😂
Tigoshop Walikua nazo mkuu.

Ukikosa Redmi 9 Samsung A03 sio mbaya pia ila iwe A03 na sio A03s ama A03 core.
 
Back
Top Bottom