Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Busara zinaendana na enzi... Nyani mzee amekwepa mishale mingi Tujuane wazee waptrick.com, site gani ingine ulikuwa inaitembelea kupitia opera mini?
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Mambo ni mengi mda ni mchache twende kazi
17 Reactions
124 Replies
5K Views
Habari za jioni, naomba kujua nitumie VPN gani ili niweze kutumia network for free?? Mimi natumia laini ya Halotel pamoja yas
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba ushauri ni simu gani nzuri(Smartphone) ambayo ni Mid range pamoja na bei yake(Tanzania) kutoka kampuni yoyote kubwa isipokuwa Tecno na Infinix kwa vigezo vifuatavyo...
9 Reactions
198 Replies
16K Views
Aloo wadau wa Jamii Forums! Leo tunavunja mifumo na kuangalia ni kwa nini mifumo ya kompyuta au internet zinapokosa kufanya kazi (system unavailability). Hii kitu inakera sana, iwe ni tovuti...
1 Reactions
3 Replies
412 Views
Wakuu kwema, Natafuta simu Kwa bajeti hiyo, ikizidi sana 250. Simu Gani nzuri? Nilikuwa nawaza hapa kati ya Samsung A03 au Infinix 12i ipi nichukue? Mwl.RCT
2 Reactions
72 Replies
12K Views
Kama bado hujui, dunia ya tech inakimbia faster kuliko mawazo ya wengi. Na moja kati ya game changers ambazo watu wadogo wanazipuuzia ni Cloud Technology ☁️ — - 1. Cloud sio kwa makampuni...
1 Reactions
1 Replies
439 Views
Naamini huenda umewahi kukumbana na changamoto ya kutofautisha dhana mbili muhimu sana katika ulimwengu wa mtandao: domain na hosting. Mara nyingi, watu huchanganya au kushindwa kuzielewa...
1 Reactions
1 Replies
688 Views
Ila Wabongo nyoko zenu🙌🏾🙌🏾🙌🏾 yani sisi huku Mtoni hata cover hatujaziona… Nyie huko mnazo za 500k 😂😂😂
0 Reactions
3 Replies
620 Views
Hii simu imenivutia, japo upande wa Charger 18w,Resolution hauridhishi, pia haina memory card slot (sio ishu kubwa) Mimi si mtaalamu sana wa haya mambo. Pia si mpenzi wa picha, camera sio ishu...
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Naombeni msaada, ninatumia IE version 8 lakini sasa nikiclick link ili tab nyingine ifunguke au media player link itokee etc tab/link inatokea lakini iko empty inasearch indefinately. Kama kuna...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwema hapo wakuu, nimekaa nje ya JF toka waifungei Sasa natafakari tangazo la kuifungia JF Kuna statement moja inasema hatutapatikana ndani ya Tz kwa muda wa siku tisini. Wazo likaja kumbe nikiwa...
27 Reactions
60 Replies
3K Views
Jacob Mfadhili Sio kama sifahamu iyo C , lakini chai ya mtoto(mpya) haiwezi kuwa ya moto kama mkubwa (expert)kaka ,, Mimi nakuelewa unapo mwambia mtu ajifunze low level ama assembly ama C, mueleze...
1 Reactions
0 Replies
316 Views
Apple event ya Septemba 9 imetoa muelekeo mpya wa kimkakati wa kampuni hiyo katika kuimarisha utawala wake wa soko la vifaa vya elektroniki. Badala ya tu kutangaza bidhaa mpya, Apple imeonyesha...
0 Reactions
8 Replies
662 Views
Tunaweza sema Hello champion phone 😉 Apple inatarajia kuachia simu mpya ya iphone 17 series miezi mitatu mbeleni kuanzia sasa. Toleo jipya la iphone 17 pro & 17 pro max itakuja ikiwa Muonekano...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanajamii forum kwa yoyote anayejua mfumo au jinsi ya kucheza zile mashine za bonanza ikiwemo teknolojia na weakness za ile mashine tujuzane humu tupate elimu
2 Reactions
44 Replies
28K Views
Habari za Jumapili wadau wa JamiiForums! Leo nimekujieni na hii thread, haswa baada ya jana kusikia kuwa JamiiForums imepigwa ban ya siku 90 na TCRA kwa kile wanachodai ni maudhui yanayopotosha...
3 Reactions
8 Replies
875 Views
Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer) Katika pitapita zangu nimekutana na maelezo kuhusu dark web internet ambayo haiwezi kufikiwa na injini za utafutaji za kawaida, watu wengi...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada. Sijui kama hili tatizo nalipata Mimi mwenyewe au na wengine mmekumbana nalo leo. Tangu asubuh nikijaribu Ku attach file haitaki kabisa na wala mails haziendi. Kuna kitu...
0 Reactions
7 Replies
986 Views
Back
Top Bottom