Simu gani nzuri kwa bajeti ya laki 2?

Kamtembelee huyu jamaa twitter hautakosa kitu roho inapenda😋
IMG_20220809_214930.jpg
 
Wakuu kwema,
Natafuta simu Kwa bajeti hiyo..ikizidi sana 250.
Simu Gani nzuri??
Nilikuwa nawaza hapa kati ya Samsung A03 au Infinix 12i ipi nichukue?
Mwl.RCT
Infinix 12i haina issue mkuu Helio A22 kimeo.

Kama unaweza kuongeza mpaka 280,000 cheki Xiaomi redmi 9 Tigoshop simu nzuri sana kwa hio budget.

Hio Samsung A03 pia sio mbaya, iwe A03 lakini na sio A03s ama A03 core maana hizo mbili hazifikii A03 kwa perfomance.

Incase huna 280,000 hio redmi 9 inakuja na GB za bure, mtu akuongezee hela Uza GB zako.

Majina yakariri kama yalivyo kuna Redmi 9A na redmi 9C sio hizo iwe redmi 9 plain bila chochote.
 
Asante umetusaidia wengi, hv hii smu inayouzwa tgoshop iko network locked?
 
Infinix 12i haina issue mkuu Helio A22 kimeo.

Kama unaweza kuongeza mpaka 280,000 cheki Xiaomi redmi 9 Tigoshop simu nzuri sana kwa hio budget.

Hio Samsung A03 pia sio mbaya, iwe A03 lakini na sio A03s ama A03 core maana hizo mbili hazifikii A03 kwa perfomance.

Incase huna 280,000 hio redmi 9 inakuja na GB za bure, mtu akuongezee hela Uza GB zako.

Majina yakariri kama yalivyo kuna Redmi 9A na redmi 9C sio hizo iwe redmi 9 plain bila chochote.

Uzuri wa hiyo Infinix ni 64gb na camera yake Kwa nilivoona ni kali kuliko hyo Samsung A03 yenye 32gb.
Labda Kwa upande wa processor ndo sijajua.

Okay asante mkuu, ntaenda kuulizia hyo Xiaomi. Hivi hizi za tigo ndo zinakuwa lazima laini Moja uweke tigo eti?
 
line zote mkuu
 
Back
Top Bottom