Yahoomail

Yahoomail

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,909
Reaction score
2,707
Wakuu naomba msaada.

Sijui kama hili tatizo nalipata Mimi mwenyewe au na wengine mmekumbana nalo leo.

Tangu asubuh nikijaribu Ku attach file haitaki kabisa na wala mails haziendi.

Kuna kitu nakosea au ni server ndio ina shida.

Asanteni
 
Mi mwenyewe nimekua muhanga sijaweza kufungua kuna ujumbe wameweka kujusilsha hilo sijajua wamekumbwa na nn?
 
Hivi bado kuna wabongo wanatumia Yahoo? Hao jamaa walikuwa hacked sijui mara ngapi, wamezidiwa in short. Nenda google au microsoft.
 
Back
Top Bottom