YouTube Niche Analysis: Make Money Online, Finance, and Social Media Tips
Here's a breakdown of profitable YouTube sub-niches within Make Money Online, Finance, and Social Media Tips...
OpenAI imezindua ChatGPT Atlas, browser ya akili mnemba itakayofanya kazi kwa ukaribu na chatbot maarufu ya ChatGPT, suala linalotarajiwa kuleta muelekeo mpya dhidi ya utawala wa Google Chrome...
Habari za muda huu wajuzi wa mambo.
Sote tunajua ya kwamba teknolojia ndiyo kichocheo cha ukuaji wa kidijitali.
Kwa sasa nchi yetu ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watumiaji wa intaneti...
Laptop Yako Inapumua Kama viumbe vingine.
Laptop yako inahitaji kupumua kama binadamu na viumbe wengine. Inahitaji kuingiza hewa na kutoa hewa ili iweze kufanya kazi vizuri na kudumu kwa muda...
Wajameni hivi ikitokea unawasha simu yako unaona message inasomeka android starting optimizing apps 60 of 60 halafu phone ikitaka kufunguka inarudi tena kuanza mpaka inafikia hizo namba hili...
Kampuni ya Microsoft imezindua kipengele kipya katika programu yake ya Teams kinacholenga kurahisisha ufuatiliaji wa mahali wafanyakazi walipo, hatua ambayo imezua mjadala kuhusu faragha kazini...
Wakuu..
Kama unatumia pixel utakubaliana na mimi kuwa hizi simu hazina option ya ku-record call(Due to private rules)
Sasa nimekuja kwenu kuomba kujuzwa App nzuri ya ku-record calling kwa hizi pixel
Wakuu tuambizane katika experience ya apps zipi ambazo unaona bila hizo huwezi kuona thamani ya simu yako...
Mi naanza na mobdro app noma sana
Link ya kudownload MOBDRO
Charlie mobdro.apk...
Kama sio mchunguzi na mdadisi huwezi kuelewa hizi picha hapa chini mwanzo nilidhani nimepigwa au kioo kibovu maana haiwezekani monitor ya mwaka 2011 Hp ya kushoto iizidi quality monitor ya mwaka...
Kutokana na Mvutano uliopo kati ya Serikali, Watoa Huduma na Wananchi kuhusu Bundles na Shutuma za Wizi inabidi sisi wananchi tuelewe tunataka nini na Wizi ni nini?
Issue za Wizi:
Kama kuna issue...
Tofauti Kati ya GTX na RTX
Na Its MalekoGJ
Kama umewahi kununua laptop au desktop yenye graphics card, kuna uwezekano mkubwa umekutana na maneno GTX au RTX kwenye maelezo ya kifaa.
Lakini, je...
Wakuu nahitaji muongozo wenu wapi ninapoweza kununua au kuchonga spare part hii ya mashine ya kutengeneza chakula cha kuku cha punje(pellets),nataka disk yenye matundu madogo pungufu ya...
ChatGPT Pro ni mpango wa malipo wa kiwango cha juu (gharama: $200/mwezi), —ikiwa ni pamoja na upatikanaji usio na kikomo* wa GPT-5, sauti ya hali ya juu (advanced voice), na vipaumbele vya trafiki...
Jinsi ya Kutumia ChatGPT Bure
ChatGPT inatumiwa sana duniani kwa ajili ya maswali, uandishi wa makala, kutafsiri lugha, kuandika, kufanya utafiti (Research) na content za mitandaoni. Watu wengi...
Habari wakuu.
Nahitaji mtu mwenye blog yenye Adsense iwe kwenye wordpress ya kununua.
Nahitaji kwa Ajili ya kuendeshea blog.
Napatikana 0692 76 33 06
Shukrani
Mwisho rasmi wa windows 10 ni 14 October 2025 (itaendelea kuwepo kwa matoleo machache maalum)
Vigezo vikuu rasmi vya windows 11 ni
Intel Core 8th Generation
UEFI
TPM 2.0
Pc nyingi sana hapa...
Wakuu,
Nasoma comments na nitashukuru sana kwa ushauri wenu
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA
MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI
CHUO CHA MAFUNZO YA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.