Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ni app gani uliwahi kuwish iundwe hapa Bongo lakini bado haipo au haijafika kiwango cha kimataifa? Au kuna changamoto gani uliwahi kukutana nayo ukaona kabisa, "Duh, hapa app ingesaidia!" Huu...
6 Reactions
69 Replies
3K Views
Habari zenu wana jamiiforums, nilinunua simu ya mkopo kama mwezi mmoja umepita kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kuniwezesha kununua simu mpya. Ila sasa nimejipata, nataka niache kuilipia hiyo...
9 Reactions
79 Replies
5K Views
Leo nimekuletea apps 5 Bora za kutumia Kwa Mwezi huu Desemba mwaka 2025, ambapo zitakusaidia kwenye shughuli mbalimbali kupitia simu yako. 1️⃣Oss scan documents Achana na zile scanner qmbazo...
17 Reactions
33 Replies
1K Views
Wakuu mimi ni mdau mkubwa wa soka la nje sasa Ligi zimerejea rasmi. Na kama mjuavyo kwa watu wa kawaida kama sisi kununua kifurushi cha 180k kupitia Dstv ili kuangalia mpira kwetu ni gharama...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Fighters, wanajua kusaka fursa tu je Imani ya digital entrepreneur hasa kwa wale wanaotegemea content creation je still fursa imelala huku maana nahisi kumefifia mno.
1 Reactions
8 Replies
402 Views
Baada ya research ya muda mfupi iliyosababishwa na kuongezeka kwa bei za Access Point nimekuja na suluhu ya bei rahisi, salama na yenye uwezo sawa na ule wa special Access points devices. Kuna...
11 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuuu asalam asifiweee Moja kwa moja to the point, nimekuwa natumia windows 10 pro, imekuwa ikinidai kuactivate windows mara kwa mara Mara ya kwanza nilitoa hela kusaidiwa kuactivate sasa...
6 Reactions
60 Replies
993 Views
JINSI YA KUFUNGUA SIMU ULIYOSAHAU PASSWORD KWA KUTUMIA KOMPYUTA 💻📱* Kama umesahau password yako (Pattern, PIN, Fingerprint) usikimbilie Kariakoo unaweza kuweka sawa mwenyewe kwa kutumia kompyuta...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii hapa ni jinsi ya kuweka window kwa kutumia flash. 1. Tafuta software inaitwa power iso. 2. Install hiyo power iso. 3. Uwe na flash kuanzia gb 4 kama unawepa windows 7. 4. Tengeneza image...
1 Reactions
28 Replies
19K Views
Ni kikompyuta cha zamani dell xps 10.Mwenye kujua wapi naweza kupata battery yake anijuze.Natanguliza shukrani
2 Reactions
2 Replies
146 Views
nahitaji vifaa vya huwei used hata kama ni vipya itakuwa sawa tu...vifaa ninavyovi hitaji ni mfuniko wa batri uwe na muonekano kidogo mzuri kama ni used,camera ya mbele na nyuma...au hata...
0 Reactions
1 Replies
182 Views
Habari ya jioni wakuu. Kuna software ya kutengeneza formula za vyakula vya mifugo niliinunua Thailand $475,hii software ili uitumie ni lazima uingize hardlock key kwenye USB port ya computer,bila...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Nimeshangazwa sana na hawa jamaa wana mimashine mikubwa mpaka ukiingia workshop unaogopa lakini kumbe hamna kitu,niliwapelekea sample ya spare hiyo nichongewe wakasema wanaweza hiyo kazi mwisho wa...
11 Reactions
71 Replies
2K Views
Hello wadau habari zenu,nikiwa mdau na mnazi wa kampuni ndogo ndogo zinazochipukia,Nimetumia bidhaa mbili tatu ,ikiwemo charger na pia hizi Bluetooth speaker 🔊 ,nimejikuta naipenda na bei zao...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nimenunua Router ya airtel 5G (smart box), nimejiunga kifurushi cha unlimited cha 110,000/- kwa mwezi, nimepata changamoto ambayo hata airtel wenyewe wameshindwa kunisaidia. Nimeona...
25 Reactions
172 Replies
22K Views
Merry Christmas and happy coming new year 2026 Wakuu tukielekea kumaliza mwaka, bado naendelea kufanya research ya simu ya kuichukua, nimekutana na Samsung S25 Fe naona inashawishi kidogo kutokana...
2 Reactions
2 Replies
337 Views
Wazee wa mji naomba kwa uzoefu wenu ipi ni nzuri kati ya Meta AI na ChatGpt kwa kutafuta majibu ya mambo mbali mbali ?
1 Reactions
17 Replies
693 Views
Wana Tech forum Nijifunze skills ipi kati ya Digital marketing au Graphics design especially kwenye Motion graphics ? Kulingana na soko la Sasa kwenye nyanja hizo za technology
0 Reactions
9 Replies
825 Views
Wakuu kama heading inavyosema naomba wenye uzoefu wanipe muongozo.Sitaki bidhaa ya Dubai. Leta ushuhuda wako pia kwa simu ya Samsung unayotumia. Nawezaje kujua simu fake na Original?. Nina 550k
13 Reactions
109 Replies
6K Views
Back
Top Bottom