TEHAMA | Angalia Hoja Hizi Kisha Toa Maoni

TEHAMA | Angalia Hoja Hizi Kisha Toa Maoni

jikuTech

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2023
Posts
227
Reaction score
291
Screenshot_20250910-103059.png
Screenshot_20250910-115341.png
Screenshot_20250910-115355.png



Jacob Mfadhili Sio kama sifahamu iyo C , lakini chai ya mtoto(mpya) haiwezi kuwa ya moto kama mkubwa (expert)kaka ,, Mimi nakuelewa unapo mwambia mtu ajifunze low level ama assembly ama C, mueleze pia gharama za matumizi yake, mtu Hana hata uwezo wa kununua PC mfano, alafu ajifunze C kuna muda anatakiwa kuendesha maisha kwa kutumia fedha , Hana uwezo hata wa kununua Arduino board, au kutengeneza workshop, Sasa C inaingiaje, vitu vingine ni vyakufanya ukiwa na ufadhili Mr Fadhili,, sio kwa ubaya,,, Mimi nakuelewa hoja zako ila hoja Yangu wewe kama Mtaalam una mjenga vipi mtu wa Hali ya chini kabisa Hana Hela anaye tafuta pa kuingilia kwamba katika saikolojia ni ngumu mtu kufanya kinacho onekana kigumu bila kuelewa kwa nini afanye hivyo,,, mfano mtu akijifunza Java atatengeneza mobile app sio kama ndio mwisho wake anaweza kuendeleza vingine kwa kuwa lugha za computer zipo nyingi ukijifunza moja ni rahisi kujifunza ingine,
Mungine tupo tunaongea hapa haelewi chochote na anfikili labda ni ndoto tu ,, lakini akiandika page ya html akaona code izo ndogo zinavyo fanya kazi ndio moyo unakuja kwamba kumbe inawezekana…. Anaweza kuendelea na ubunifu mwingine kwa kadili anavyo weza
hiyo itamsaidia kumpa fedha huku akiendelea kuzama huko kwenye chimbuko,,,, nakuelewa zaidi wewe mwenyewe unafahamu jamii ya Tanzania haina uelewa sana na Tehama,,,,
Ukijifunza C
Hizi ni matumizi common
-Os
-Embedd System
-Game Development
-System Software
- Robotics viwandani
Sasa ufanyaji kazi na hizo unahitaji capital
Kwa Nini mtu asijifunze fast earning Kwanza alafu apate aingie huko.
Mimi siwezi kumshauli mtu anaye penda TEHAMA, akafanya kazi ambazo sio za Tehama kufacilitate njia ya Tehama
Ushauli Wangu ajifunze fast earning apate pesa kwenye Tehama ili awekeze kwenye Tehama..
Sawa utasema C Desktop Apps ni Watanzania wangapi Wana computer??
C uwekezaji wake ni cost fully,,
Huwezi Anza nayo kama una Hali ya chini. Labda kama unamtu karibu unamwona anavyo tembea nayo iyo C na jinsi inavyo mnufaisha hapo hata kama una hali ya chini lengo lako litakuwa na nguvu.
Jitahidi ukiwa na uelewa na kitu kurahisisha jinsi wengine wakijue kwa urahisi na kwa mapenzi yote ,, huwezi kuingia ulingoni bila mazoezi , lazima ujue hata tu push up`s. Usijikite kumsukumizia mtu apigane kabla ya mazoezi.
Hata ukienda kujifunza ngumi lazima uanze na tuvitu tudogo, labda kama unawezo wa ziada. (nguvu za miugiza)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom