kWh (kilowatt-hour), Wh (watt-hours), mAh (milliampere-hour), V (Volts)
Unit 1 ya shilingi mia tatu ni sawa na 1000 Wh ( 1 kWh)
Tuchukue mfano wa simu ya smartphone yenye betri kubwa ya 4,000...
Naomba msaada wa laptop nzuri kwa ajili ya masomo. Software zinazotumika kwenye kozi husika ni CAD, baada ya kufuatilia
Naomba msaada ni laptop ipi infaa kwa 800K hadi 900K mwisho
Pia kuna...
Habari wakuu,
Kuna uwezekano Picha zinazopigwa na Smartphone hizi za kisasa zikaizidi kiwango kamera ya kawaida? (Sio professional camera)
Nimeuliza kwa sababu simu hasa hizi High end zinakuja...
Kompyuta yako si kifaa kinachofanya kazi kimya kabisa. Ndani yake kuna fans, diski zinazozunguka, na sehemu za kielektroniki ambazo kwa kawaida hutoa sauti ndogo. Lakini pale sauti zinapobadilika...
Wakuu karibuni tuwasaidie huduma za IT SOLUTIONS
HUDUMA ZETU NI KAMA ZIFUATATAZO:
1.COMPUTER MAINTENANCE
#Software
#Hardware
2.COMPUTER ACCESSORIES
# SSD 512 GB, 1TB, 2 TB...
#RAM 8GB, 16 GB...
Watu Wengi Wananunua MacBook Bila Kujua Mambo Haya 3 Muhimu Wewe Usiwe Mmoja Wao
Kwenye ulimwengu wa teknolojia, jina la MacBook limejijengea Heshimaa kubwa.
Ni kweli, ni laptop zenye muundo...
Programming tafsiri rahisi ni kutengeneza programu ,kwamba baada ya kufanya programming ndio inapatikana programu ya kompyuta, undani wa kujua programming ni kufahamu sayansi ya kompyuta.
LAI ...
Hata sikuwahi kujua facebook inalipa, Nilikuwa naichukulia kama jukwaa la kuangalia picha za marafiki, kuchungulia maisha ya watu na kupoteza muda kwenye memes. 😂
Lakini, Jumamosi iliyopita...
Wana Jamvi, Habarini.
Nimekuwa nikijitahidi sana mwaka huu kutafuta fiber ya TTCL ofisini kwangu. Hii ni jambo ambalo nimehangaika nalo sana. Nimefika ofisi zao na wamesema niombeni mtandaoni...
Wakuu naomba tujuzane kitu
Kuna uzi unatrend sana humu jf wa kuhusu kuset chanel unaitwa Africa satellite sat gear
African Satellite World and Sat Gear...
kampuni ya whats app imeongeza uhondo wa status ambapo sasa status inakuwezesha kuweka picha, video au GIF na pia inakuwezesha kujua nani alio view status yko.
Ili mtu aweze ku set status...
Habari
Husika na heading above wakuu… naomba kwa mwenye uelewa kuhusiana na title juu hapo, ni ipi inalipa moja kwa moja na malipo yawe cash au hata bank?
Asante, karibu 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Habari wakuu,
Ninawazo hapa mahususi kwa sisi wa developing countries.
Wazo hili halitokani na Zuku Fiber + TV
Device ambayo itakuwa inaweza kupokea signal za internet+tv through Fiber (SFP Slot)...
Kwa sasa uki 'search' facebook matokeo yanakuja kwa mchanganyiko wa post, picha na video bila mpangilio maalum.
Hakuna sehemu ya kuchagua uone post peke yake
Hakuna sehemu ya kuchuja posti mpya...
Watu wengi hutumia Airplane Mode ili kuepuka kupigiwa simu kwa sababu mbalimbali. Hata hivyo, njia hii huondoa kabisa mtandao wa simu na intaneti, hivyo kushindwa ku-browse.
Sasa nakufundisha...
Watu wengi huchukizwa na ratiba za kushtukiza, hutaka kuandaliwa ili wajiandae kuhusu tukio lenyewe.(Mindset)
Nafikili na wewe ni miongoni hupendi mtu akuambie latiba ambayo haukuwa nayo kabla...
Kuna siku niliwahi kuandika mada humu kuhusu jinsi Tanzania ilivyo na magenius wengi, lakini hawavumi.
Haya, kuna ndege za Skyleader zimetengenezwa na vijana 13 wa Kitanzania kuanzia mwanzo hadi...
Oli otya leero?
Watu wengi tunatumia simu katika maisha yetu ya kila siku, kuna watu ambao tunawasiliana nao mara kwa mara lakini wengine hulazimika kutafuta namba zao kwenye contacts au calls...
Yoti ni teknolojia ya kimataifa ya kidijitali ya utambulisho (Digital ID) ambayo inakuwezesha kuthibitisha taarifa zako binafsi kwa njia salama, ya haraka na isiyo na makaratasi. Hapa chini ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.