Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakati baadhi ya watu wakihangaika kupinga binadamu kutua ama kupinga kua binadamu alikanyaga uso wa mwezi zaidi ya miaka 50 iliyopita mataifa mbali mbali yameendelea na harakati zakiutafiti anga...
1 Reactions
0 Replies
388 Views
WhatsApp GB si rahisi kuipakua. Inahitaji proffessional. Anaetumia Whatsapp ya kawaida kasheshe kwake ni pale anafuta kitu cha aibu huku wenye GB Whatsapp haifutiki patamu hapa. Feature ipi...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Nataka nitengenez account kama 20 hivi za wanunuaji wa bidhaa wa fiverr, ntakuwa nalipia kupitia visa hizi za mpesa/ Airtel. Nataka niwe nanunua bidhaa zangu mwenyewe halafu najipongeza kwamba...
2 Reactions
8 Replies
921 Views
Habari wadau, Naombeni msaada, naitaji kudelete post zangu za zamani hapa jf je nafanyeje? Asante.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Kwa yeyote anaejua au amewahi kutumia TV za Aborder tafadhali naomba kufahamu uimara wake
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Gari hiyo aliyokuwa akiitumia kwa muda sana huku duniani , ambapo alipanga kufanya hivyo kama majaribisho ya rocket yake kubwa ya falcon heavy ambayo ndio ilikuwa inaruka kwa mara ya kwanza kabisa...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Wale wazee wa flagship kama bado unajishauri naomba nikushauri ipi ya kuchukua kati ya hizi mbili bora uende Samsung. Nilinunua S21 ultra february nikachukua iphone 13 pro niliipata tarehe 5...
15 Reactions
70 Replies
10K Views
Hasa kwa upande wa Hisense tv, nana bei ya 4k ni tofaut na bei ya smart ya kawaida, nini cha ziada?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Do you think that printed advertisement actually works? I'm talking about various brochures and stuff like that.
0 Reactions
2 Replies
655 Views
Ndugu zanguni habari, najua JF inao mkusanyiko wa watu tofautitofauti hivo nimeona suala langu nililete hapa pengine nitapata msaada. Mimi ni mkazi wa Mwanza, ila nina passion kubwa na ishu za...
2 Reactions
2 Replies
650 Views
Nimeamua kuwapongeza ninyi maana bila ninyi maisha yangekuwa magumu sana hususani kwa sisi tunaotegemea internet muda wote...Ila kupitia ninyi mmefanya maisha kuwa rahisi mno asanteni sana..
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu, Ni app gani nzuri ya kukata(Trimm) video zilizopo Youtube na kisha kupakua trimmed video kama audio? Ni kwamba nahitaji kukata video ambayo ni ndefu na katika video niliyochagua nipakue...
3 Reactions
66 Replies
10K Views
Wakuu salama, Hyo Tv yng aina ya evoli screen ndo imebuma kimtindo huo yan inaweka mistari tu, dada ktk harakat za usafi aliminya kioo. Hili tatizo linapona kwa mafundi wetu wa ki bongo kweli au...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
A path in a digital circuit switched network has a data rate of 1 Mbps. The exchange of 1000 bits is required for the set up and teardown phases. The distance between two parties is 5000 km...
2 Reactions
3 Replies
392 Views
Leo kuna pendekezo limetolewa bungeni ambalo uwezekano wa kutekelezwa kwake ni mkubwa, pendekezo hili lita athiri sana hasa watu wa tech ambao matumizi yao ua internet ni makubwa. Aliependekeza...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu Nimejipanga na kiasi cha 300k niko sehem ambayo fibe bado hazijafika na ninaitaji kufunga wifi ya unlimited na yenye network tulivu Sana je ni company ipi inaweza nipa huduma hiyo
2 Reactions
29 Replies
6K Views
Hello wakuu. Habari naomba kuuliza hivi natafuta kujiunga kwenye app yoyote ile ambayo nitailipia kwa mwezi . Maana matumizi yangu ya internet yamekuwa makubwa . Kwa siku natumia Elfu 5. Je...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi! Nilikuwa naomba kujulishwa aina gani ya TV ni bora zaidi kati ya hizo tajwa. Nilikuwa nahitaji TV 43",Hisense nimeambiwa 800,000/=tshs.,Home tech nimeambiwa 680,000/= dukani...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habarini wanaJF kama kichwa cha habari kinavyojieleza Naomba kufahamu kama kuna mtu anaweza kunifanikishia kupata kioo kwa ajili ya Samsung A90 cha kwangu kimepasuka sasa naitaji kukibadilisha...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Waungwana.. kuna friji brandi ya INDESIT Nilinunuaa USED, week iliyopita inapooza vizuri sana mpya ndani haija chakaa ila inatoa mlio flani nikiulizia naambiwa ndio tabia ya brandi za INDESIT...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom