Hapo bado haijanisaidia,Mimi nataka nikiiingia Youtube natafuta video ninayoitaka halafu kutoka kwenye hio video nakata kipande ninachohitaji kabla ya kudownload,halafu nikishakata hio video ndio na download audio yake.Hiyo ina download sound au video. Una install hiyo. Ukifungua youtube video yeyote nenda batani ya share na kwa videoder
Unachokitaka wewe hakiwezekani, labda udownload audio the uje uikateHapo bado haijanisaidia,Mimi nataka nikiiingia Youtube natafuta video ninayoitaka halafu kutoka kwenye hio video nakata kipande ninachohitaji kabla ya kudownload,halafu nikishakata hio video ndio na download audio yake.
Lengo ni kukwepa kupakua Video nzima ambayo inakuwa kubwa mno.
Mbona hiyo kitu ipoHapo bado haijanisaidia,Mimi nataka nikiiingia Youtube natafuta video ninayoitaka halafu kutoka kwenye hio video nakata kipande ninachohitaji kabla ya kudownload,halafu nikishakata hio video ndio na download audio yake.
Lengo ni kukwepa kupakua Video nzima ambayo inakuwa kubwa mno.
Sawa,ngoja nione kama na majibu ya wengine yatasema hivyoUnachokitaka wewe hakiwezekani, labda udownload audio the uje uikate
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Si uweke apa kwa manufaa ya wengine,au unauzaNicheki Pm nina App yamoto sana iko kama Adobe premier
Mkuu nimeitafuta kwa App Store haipo mbona... tusaidie Mkuusnaptube ndio natumia mimi ina format zaidi ya kumi kwa video na audio
Ogopa sana hii kitu.Nicheki Pm nina App yamoto sana iko kama Adobe premier