BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,623
- 3,011
Kwa yeyote anaejua au amewahi kutumia TV za Aborder tafadhali naomba kufahamu uimara wake
Budget yako kama bado iko kwenye level za akina aboda basi achana na aboda na uchukue star-x utakuja kunishukuruKwa yeyote anaejua au amewahi kutumia TV za Aborder tafadhali naomba ku
Ha ha ha ha ndondo iliyochangamkaMfano aborder 32' ni 280k ukiongeza kidogo unapata skyworth 32' kwa 320k na hisense 32' kwa 350k. Skyworth na hisense ni level za ligi kuu na aborder ni ndondo iliyochangamka