Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Waungwana.. kuna friji brandi ya INDESIT Nilinunuaa USED, week iliyopita inapooza vizuri sana mpya ndani haija chakaa ila inatoa mlio flani nikiulizia naambiwa ndio tabia ya brandi za INDESIT...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nina simu Samsung Galaxy Grand Prime+ imepatwa na hili tatizo linaloitwa ghost touch. Yaani screen inachezacheza yenyewe bila kubonyezwa na mtu. Nimejaribu njia kadhaa nilizoona...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habari za saa hizi? Naomba kwa yeyote mwenye ufahamu anisaidie, nina router ya kampuni ya Smile. Je kuna uwezekano wa kui manoeuvre itumike kwa mitandao mingine kuachana na smile, yani kama...
1 Reactions
1 Replies
364 Views
Makamu wa Rais wa Idara ya Masoko kutoka Apple, Greg Joswiak amesema hawana uamuzi mwingine zaidi ya kufuata maagizo hayo na kuanza utekelezaji japokuwa hawakubaliani nayo. Amesema "Apple...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nataka nikate Wimbo kuanzia Sekunde ya 40 mpaka Dakiki 1:20 Ni app gani nzuri ya kufanya hivyo?
0 Reactions
5 Replies
891 Views
Nataka ninunue HP pc yenye hivo vigezo mnanishaurije wadau ipo updated au ni local?
1 Reactions
1 Replies
561 Views
Habari Nisiwachoshe baada ya vifurushi vya internet kupanda na gharama kuwa kubwa nikaona sasa niachane na maswala ya kuweka bado na kuanza kutumia mambo yetu yale ya maVPN ili nipate free...
0 Reactions
2 Replies
574 Views
Je hii laptop wakuu ipo vizuri kuhimili Gaming, ubora wake ni upi na uthaifu wake ni upi? Kwa wanaofaham kuhusu mambo ya games kwenye pc. Kwa games za online (eg pubg) na offline pia.eg (far cry)...
1 Reactions
1 Replies
729 Views
Hamjambo waungwana, Naomba mwenye kujua jinsi ya kuangalia ukubwa wa processor ya computer maana nimeangalia hivi ila sijaona ni
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wana JF Naomba kufahamu kwa kina sana kuhusu NOC
0 Reactions
4 Replies
445 Views
Hellow Gamers Nimefikia ukomo kwenye tasnia ya Gaming Hivyo basi nimeamua kwa moyo mmoja kuitafutia makazi mapya hii PC yangu. Ni Custom built PC naweka specs zake hapa chini. Safari ya kuunda...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wandugu! Naombeni muongozo nani huku anatumia huduma ya Super-kasi Vodacom....hii wanayokufungia antenna na wanasema unapata speed ya 30MbPs. Kwa mwenye experience nayo nataka kujua speed...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Kati ya computer yenye processor AMD A8 na core i 5 ipi bora?
0 Reactions
1 Replies
496 Views
Habari wana JF. Naomba mwenye kujua kama inawezekana kuweka OS ya android 12 kwenye Galaxy Note 8 alternatively maana officially haiwezekani. Faida na Hasara(Risk) za kufanya hivyo, Karibuni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu vipi, Nmeenda dukani kununua Pc used abroad. Ni hp 840 zile new design nyepesi flan nyembamba. Core i5, Ram8, ssd 256 generation 6 Kwa 550, 000/= Ni sawa au napigwa?
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakati teknolojia ya simu za mkononi zenye uwezo wa ‘touch screens’ ikiingia, kila mtu alikuwa akistaajabu kwamba utaweza vipi kubofya simu ambayo haina ‘buttons?’ yaani uguse tu kioo halafu mambo...
13 Reactions
43 Replies
5K Views
Kama unatumia Whatsapp ,facebook, insta, messenger zote zimezima mda huu... sijui server za bwana marck zimekumbwa na nini leo... [emoji849][emoji849][emoji849][emoji34][emoji34][emoji34]...
5 Reactions
93 Replies
9K Views
Wadau! Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Ni buheri wa afya hapa morogoro katika chimbo fulani hivi. Bila kupoteza muda. Natafuta bulk SMS Provider ambaye bei zake ni nafuu. Kuna jamaa...
1 Reactions
3 Replies
738 Views
Habari wadau hivi inakuaje kila ukibadilisha simu what's app inaanza upya yani kama vile hukuwa na account inatoa magroup yote na kila kitu, yani ni kama unanza moja
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom