Asanteni WIRE TUN na stark VPN

Asanteni WIRE TUN na stark VPN

Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,859
Reaction score
3,024
Nimeamua kuwapongeza ninyi maana bila ninyi maisha yangekuwa magumu sana hususani kwa sisi tunaotegemea internet muda wote...Ila kupitia ninyi mmefanya maisha kuwa rahisi mno asanteni sana..
 
Vitu vingine sijui mtakuja kujifunza lini tu wa TZ. You know that these guys (ISPs) are just fvcking aroud here kwa jukwaa na mnawasaidia kujua wapi pa kuanzia, hivi mnazani kununua 1GB kwa 3000 ni raha eti? Ukipata kitonga kama una share tumia akili usiweke JF hapa, nenda JF STORE Ukajionee tricks ngapi zimekua fvcked up baada tu ya kuwekwa hapa JF na kule FB kwa madogo wa la 7 na 4m4 ambao hawajui chochote..
 
Unamwaga matonga mbele ya nguruwe
Hao ndo vijana wa hovyo wanaofanya hata wabunge wasiojua shida wala uchungu wa maisha huko mjengoni wanazidi kupitisha miswada ya kipuuzi kuongeza tozo kwenye makampuni ya simu, matokeo yake ISPs nao ili kua capable na running costs za kampuni wanafanya kuongeza gharama za vifurushi... 500 mb250, 1000 mb400, 2000 mb700 & 3000 1gb WTF?
 
Usipige kelele sasa. Kula mema ya nchi kimya-kimya kama wakubwa wanavyokata keki ya taifa.
 
Back
Top Bottom