Hisense VS Home Tech

VMWare-Oracle

JF-Expert Member
Dec 19, 2021
663
910
Habarini wanajamvi!

Nilikuwa naomba kujulishwa aina gani ya TV ni bora zaidi kati ya hizo tajwa.

Nilikuwa nahitaji TV 43",Hisense nimeambiwa 800,000/=tshs.,Home tech nimeambiwa 680,000/= dukani.

Kulingana na bei Hisense ipo juu je vipi kuhusu ubora?Mimi sijui ila Hisense inaweza kuwa bei ila ubora ukawa sawa na Home tech.Naombeni wataalamu mnisaidie.
 
Wachana na huo ujinga mwngne kama huwezi samsung na LG, last option ni hisense na TCL

Wachana na tv hizo zingine
LG natumia mpaka nachoka, hisense naona kama zinazingua, watu wangu watatu zimewafia zikiwa bado mpya... labda ni bahati mbaya wengine watashauri
 
Habarini wanajamvi!

Nilikuwa naomba kujulishwa aina gani ya TV ni bora zaidi kati ya hizo tajwa.

Nilikuwa nahitaji TV 43",Hisense nimeambiwa 800,000/=tshs.,Home tech nimeambiwa 680,000/= dukani.

Kulingana na bei Hisense ipo juu je vipi kuhusu ubora?Mimi sijui ila Hisense inaweza kuwa bei ila ubora ukawa sawa na Home tech.Naombeni wataalamu mnisaidie.
Hiyo Home tech ina king'amuzi cha Azam ndani
 
Namba moja LG namba mbili Samsung halafu wanafuata wengine. Nina Samsung 40 inch smart TV ina mwaka wa 7 sasa IPO kama mpya tu. Haijawahi hata kunisumbua
 
Namba moja LG namba mbili Samsung halafu wanafuata wengine. Nina Samsung 40 inch smart TV ina mwaka wa 7 sasa IPO kama mpya tu. Haijawahi hata kunisumbua
Wacha kuivunjia heshima Samsung brand.

Samsung ndy namba moja Kwa sasa.
 
mwenye uzoefu na evoli tv wazee

hyo yngu inch 40' ila ndo imebuma hivyo, dada aliiminya kioo ktk harakat za usafi.

Vp inaeza pona au imeisha hyo?
20221026_202116_mfnr.jpg
 
Back
Top Bottom