Habari wadau,
Naombeni msaada, naitaji kudelete post zangu za zamani hapa jf je nafanyeje?
Asante
- Huwezi delete thread uliyoianzisha
- Ni mod. wajukwaa husika ndiye anaweza ifuta ukiwasilisha ombi la kufutwa kwa hiyo thread husika
Asante kwa maelezo, naomba nisaidiwe jinsi ya kufuta comment yangu niliyochangia kwenye mada fulani, natumia simu hua nashindwa
- Huwezi delete thread uliyoianzisha
- Ni mod. wajukwaa husika ndiye anaweza ifuta ukiwasilisha ombi la kufutwa kwa hiyo thread husika
Maliyangu, wewe mwenyewe unaonekana umejiunga Jf majuzi. Zamani ipi unayozungumzia? Au una account nyingi?
Asante kwa msaada na je kama nataka kumuomba huyo mod afute nafanyaje? pili naweza delete account yangu ya jf?
pili naweza delete account yangu ya jf?
- Huwezi delete thread uliyoianzisha
- Ni mod. wajukwaa husika ndiye anaweza ifuta ukiwasilisha ombi la kufutwa kwa hiyo thread husika
Habari wadau,
Naombeni msaada, naitaji kudelete post zangu za zamani hapa jf je nafanyeje?
Asante.
Kauliza "post" na si "thread".
...................naitaji kudelete post zangu...............
- Neno "Post" limeleta utata si ndio
Hakuna EDIT kuna REPORT