Simu used kutoka Dubai na UK

Simu used kutoka Dubai na UK

katika pitapita zangu instagram nimekutana na simu yangu pendwa tangu utoto samsung note 10+ ambayo wakati inatoka ilikuwa haikamatiki mana bei yake ilikuwa inaunguza mikono, leo nimeiona inauzwa 550,000TZS ila ni used from dubai, kuna mtu ana uzoefu na hizi simu used from dubai nisijeingizwa mjini
Nunuaa tu zina GB 120
 
Katika pitapita zangu instagram nimekutana na simu yangu pendwa tangu utoto samsung note 10+ ambayo wakati inatoka ilikuwa haikamatiki maana bei yake ilikuwa inaunguza mikono, leo nimeiona inauzwa 550,000TZS ila ni used from Dubai, kuna mtu ana uzoefu na hizi simu used from dubai nisije ingizwa mjini.
siku hizi hadi infinix used from dubai wanatupiga asee
 
Siku zote mke aliae achwa na mwenzako hafai kwa afya
 
Baadhi ya matatizo ya kawaida ni kutokukaa chaji, display kuwa na mistari, kuchemka joto, na kukosa spare, mazuri yake ni kamera kali, speed, mvuto na display tamu sana haya chagua mwenyewe
 
Hizi simu ni ghali sana zikiharibika,mafundi wengi hawaweki spea.
Zkna shida ya kuvilia rangi kwenye kiooo.ila ni nzuri ,mi ninayo ya gb 500.na mpaka sasa nimetimia gb 120.sasa najiona simu STD kwangu ni kuanzia gb 256.
 
Back
Top Bottom