Achana na CamScanner, Adobe Scan ni Kiboko na bure

DidYouKnow

JF-Expert Member
Jul 28, 2019
1,094
1,691
Leo nimetumiwa document ya muhimu sana toka benki fulani. Ajabu document ile kwa chini ina watermark ya CamScanner. Nikashangaa sana mtu hata document za muhimu bado anatumia CamScanner tena ambayo ni app ya kizamani sana.

Mwaka 2017 Adobe walitoa Adobe Scan ambayo waweza itumia kwenye iOS na Android. Ni app bomba sana kwa ku scan documents. Uzuri inakusaidia vizuri kushika edges za document unayo scan. Na huwa haiweki ile watermark au alama kwamba ume scan kwa kutumia app gani. Ukipiga picha vizuri, itakupa best scan kuliko unavyoweza pata kwenye hizi mashine ya ku scan.

Toa CamScanner kwenye simu yako, weka Adobe Scan na kwa hakika utagundua ulichelewa sana kuijua hii App.

Sumsang Mobile Print, ni app yenye scanner matata! Hata kama document imekaa tenge na wewe mpiga picha umekaa kimshazali bado utaweza kuscan documents kwa kiwango kikubwa!
 
Office Lens
Adobe inafanya vizuri zaidi. Ubora ni mkubwa

Nimetmia kigezo cha scanning katika mwanga hafifu, Adobe ametoa picha bora zaidi, akifuatiwa na camsanner, office lens imeshindwa.

Pia kwa kigezo cha precision, bado adobe iko makini zaidi, hatakama karatasi iko kwa mbali inakuwa detected vyema.

Tatizo adobe iko slow katika processing ya image
 
App yangu hiyo budda
20201111_183315.jpg
 
Adobe inafanya vizuri zaidi. Ubora ni mkubwa

Nimetmia kigezo cha scanning katika mwanga hafifu, Adobe ametoa picha bora zaidi, akifuatiwa na camsanner, office lens imeshindwa.

Pia kwa kigezo cha precision, bado adobe iko makini zaidi, hatakama karatasi iko kwa mbali inakuwa detected vyema.

Tatizo adobe iko slow katika processing ya image
Kweli Adobe iko slow sana. Document ya page 10 utakesha kuziscan.

Acha niendelee na CamScanner
 
Clear scanner...Naikubali sana hii.
Bi up! Tangu nimeijua hii App. sijawahi juta. Iko vizuri mno. Ipo fast na very clear. No watermark. Una sacan bila hata internet. Ambao hamanayo ijaribuni, hamtajutia kuwa nayo.
Adobe inafanya vizuri zaidi. Ubora ni mkubwa

Nimetmia kigezo cha scanning katika mwanga hafifu, Adobe ametoa picha bora zaidi, akifuatiwa na camsanner, office lens imeshindwa.

Pia kwa kigezo cha precision, bado adobe iko makini zaidi, hatakama karatasi iko kwa mbali inakuwa detected vyema.

Tatizo adobe iko slow katika processing ya image
Mwl. RCT umeshaijaribu ClearScanner? Kwangu mimi naona ni nzuri sana.
 
Office lens haijaniangusha
 
Attachments

  • Screenshot_20201111-185553~2.png
    Screenshot_20201111-185553~2.png
    289.7 KB · Views: 18

Similar Discussions

Back
Top Bottom