Home theater vs Soundbar Ipi bora?

Wakuu poleni na majukumu naomba kujuzwa ni music system ipi nzuri kati izo nilizozitaja hapo juu. Naomba kuwasilisha wakuu
Hapo hakuna music system, hapo kuna Sound System.

Home theater na Soundbars hazikutengenezwa kwa ajili ya Music... zimetengenezwa kwa ajili ya Movies
 
Back
Top Bottom