Kama kichwa Cha habari kinavosema, naitamani sana kuroot simu yangu ya samsungu na nimesoma makala nyingi sana kuhusu faida na hasara za kuroot simu na nimejiridhisha kiasi Cha kutosha na sababu...
Samahani wakuu naomba msaada wa kujua Kuangalia ni kwa jinsi gani profile yangu Ina asilimia ngapi ya ukamalifu kwenye mtandao wa upwork, kwa kutumia application yao ya simu.
Nina channel yangu ya Youtube ina Subscribers 8k
Watchtime 2000
Inaitwa: Story Za Raja
Aisee kama una 100k nakuachia channel maana nimepigika sijawahi ona.
Ulishawahi ni kitu gani kitatokea kama tu rocket itakwenda angani moja kwa moja bila ya kufuata mkunjo wa dunia yetu.
Huenda itakwenda bila ya kufikia mwisho na matokeo yake itaishiwa na mafuta...
Oya let's share wewe kwa maono yako unaona aina gani ya tovuti zimesahaulika kuundwa ili maprogrammer wetu waweze kufix mambo? kinara wetu
Chief-Mkwawa
Binadamu Mtakatifu
Hawa ndo ninaowajua humu...
Habari za muda huu wana JF,
Kheri ya mwaka mpya wote tuliovuka salama, natumai mko salama.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwa yeyote aliyewahi kutumia Nokia NSeries naomb...
PC yangu haikubal kuapdate virus protection.inaload tu ila haianzi kuapdate au inahitaji network nzuri ya kutosha? Au nini shida?
Ona hako kaclip hapo chini👇
Wakuu hali sio nzuri Kwa shughuli ya YouTube Tanzania hapa.
Idadi ya Views imekuwa ndogo Sana. Naomba Mwenye wazo la Aina ya Content Bora ya YouTube channel aishushe hapa.
Habari wakuu, msaada tutani. Naomba mwenye setups za Adobe(PS, XD, Illustrator na Premiere) ambazo ni cracked, anisaidie.
Nipo Dar es Salaam. Nijulishe tuyajenge DM. Nitakujali hela ya maji ya...
Whatsapp Chats, Voice notes, Video calls na Calls za kawaida unazoweza kufanya kupitia Whatsapp ,Je huhifadhiwa katika server za Whatsapp?
Na kama nikitaka kufanya backup ya chats, voice notes...
Habari za mda huu ndugu zangu, najua mko poa kuelekea kusherehekea sikuu ya Xmas na Mwaka mpya
Wakuu kama kichwa cha uzi kinavojieleza naomba kujua je,!? Kuna hizi zinavoonekana kweny picha...
Baada ya kuwa muoga kwa siku kama Tatu hivi hatimaye nilikuweza ku-root simu yangu ya Samsung Grand quattro Hii ni Baada ya kuona sikipati ninachokitaka kwenye haya MASIMU YA "KIMASKINI" ikanibidi...
Habari wakuu,
Naomba ushauri wenu majuzi kati nilipata vijesent vyangu nikanunua tv ya hisense sasa nimetumia wiki mbili tu.
Juzi wakati nataka kuunganisha na subwoofer nashika wire naona tv...
Wakuu natumai mu salama!!
Mwanzoni wa mwezi huu nimebahatika kuipata Samsung Galaxy S10 plus.
Nimepitia sites nyingi nimeona hii simu imekuwa top rated kwa ubora kwa 2019.
Lengo la uzi huu ni...
Waheshimiwa 43+ heshima kwenu, wadogo chini ya 40 mnisalimie
Aisee kama uzi unavyosema nategemea kuingiza fiber ya TTCL na 20mbps shared. Professionally ni mtu wa IT
Mbali na kuiunga kwenye tv na...