Msaada jinsi ya kuroot simu ya Samsung Galaxy Grand Prime Prus

Gy6

New Member
May 20, 2020
4
0
Kama kichwa Cha habari kinavosema, naitamani sana kuroot simu yangu ya samsungu na nimesoma makala nyingi sana kuhusu faida na hasara za kuroot simu na nimejiridhisha kiasi Cha kutosha na sababu za kutaka kuroot simu yangu
1. Kuondoa tatizo "Unfortunately Google play services has stopped" linaboa sana
2. Kuweza kustomiz simu yangu kadri niwezavyo
3. Kuongeza ukubwa wa RAM na Android Vision ya sahivi ni 6.0.1
4. KUFANYA simu yangu kuwa nyepesi.
Naomba msaada wenu wataalamu na watu wenye experience.

Natanguliza Shukran Zangu
Chief-Mkwawa
Tetramelyz
SuperImpressor
MoneyHeist4
racka98
Na wengine wote wenye ujuzi naomba msaada wenu wakuu
Screenshot_20230105-115912_120054.jpg
 
Back
Top Bottom