Internate Cafe gani naweza kushusha file kubwa haraka hapa Dar

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,843
8,232
Naomba msaada kama kuna mtu hapa Dar anayefahamu cafe yenye uwezo wa kushusha file haraka na kwa speed hapa Dar,cafe nyingi hapa Dar hawaruhusu kushusha faili ,zamani nilikuwa naweza shusha faili Stambuli Cafe iliyopo Millenium makumbusho lakini sikui hizi sijui kumetokea nini yaani wakati mwingi iko slow na net hukatika mara kwa mara kwa hiyo inakuwa kero.
 
Nenda Laura internet cafe iko Kimara kona mbele ya Latemba Bar , Kuna internet cafe moja iko jengo la Posta Opposite na Mkapa Towers hapo unaweza pia ila hawaruhusu kuingia na laptop pale Laura unaweza au unaweza kwenda Soma Book Cafe kuna kiingilio lakini
 
EBook au ni kitu gani hicho? Vitabu gani wanavyo?
 
Vitabu vya aina mbalimbali unavyotaka kwa ajili ya kusoma kwa watu wote pia kuna sehemu ya wazi ya kufanya mijadala kujisomea na kutumia internet ukiwa na laptop yako
 
Mkuu Shy nilienda pale posta mpya nikapakuwa file zangu kwa viwango na spidi katika muda mfupi sana ni kama spidi na viwango vya Spika wetu ,ubarikiwe
 
Back
Top Bottom