Afro IT kuna tatizo gani?


Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Messages
606
Likes
15
Points
35
Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2009
606 15 35
Kwa takribani wiki tatu sasa nimekuwa nikishindwa kupata site ya afroit.sijui kuna shida gani ,labda wanajf mtanisaidia.
Kilongwe upo?
 
Kilongwe

Kilongwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2008
Messages
424
Likes
12
Points
35
Kilongwe

Kilongwe

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2008
424 12 35
MKuu Samahanini sana kwa kutokuwa hewani kwa mwezi sasa,Huku China tupo kama lupango,kuna sheria yao wameianzisha kuwa Website zote lasima ziwe zimesajiliwa na kutofanya hivyo ni faini kuwa mno,sasa kila provider anachachawa hususan kwa website za nje kwani wanaogopa mno,na kupata hiyo ICP kuna ka taratibu ambacho kwa foreigner ni tabu kidogo,Nina uhakika mwanzo wa wiki hii tutarudi kundini.

Pia tupo kwenye makamilisho ya kitu kingine ambacho nina uhakika kitakuwa na manufaa makubwa zaidi

Samahanini kwa usumbufu
 

Forum statistics

Threads 1,238,329
Members 475,877
Posts 29,316,372