Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hamjambo wana-JF? Tafadhali naomba msaada wa kunijulisha wapi pa kupata AT89S51 microcontroller au jamii ya 8051 microcontroller ndani ya Tanzania. alpha1
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello wadau Nimepata PC tower ambayo nafikiri jamaa alikuwa anaitumia kwa Games maana weka graphic card ku enhance pictures.Tatizo ni kuwa nimejaribu kuiwasha hakuna image sent to the...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu? Napenda kutambulisha kwenu uanzishwaji wa jumuiya inayoitwa BONGO SCIENCE, au kwa kifupi BS.. Katika kipindi hiki ambapo nchi nyingi duniani zimekuwa zikifanikiwa kwa kutumia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
HII ni njia ya kutest kama anti virus yako ya ukweli ama la ukiona imeona virus ujue iko mzuka,ukiona kimya ujue kimeo hiyoooo tengeneza new text document. halafu copy maneno haya...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mimi nimemaliza chuo mwaka 2007 Advanced diploma in IT.Katika kipindi chote mpaka sasa sijabahatika kupata kazi ya proffessional yangu.nimejikuta nafanya part time job.Imefikia kipindi nimeanza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
:lol: Don't Use: Any part of your name - first, last, or middle Your initials Your social security number Names of friends, family, or pets Birthdays Phone numbers or addresses Any other...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I like to experiment whenever I get spare time. It should explain my avatar on the left. ;-) So one dull morning, about a month ago, I took a backpack and in it was one Toshiba fully loaded with...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Hatimaye Microsoft wametoa toleo jipya la Internet Explorer, toleo hili linajumuisha mwendo kasi wa vtendea kazi vya kompyuta, msaada wa viwango vya tovuti na muonekano mpya ambao umetilia mkazo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi wakuu, Tafadhali ninaomba mdau mwenye software ambayo inaitwa CHIEF ARCHTECT ili niweze itumia. Actually aniweza kunipa copy ambayo iko registered. Malipo ni mazungumzo. aliyenayo awasiliane...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF wote, Mara chache sana tumekuwa tukishuhudia tukio la kupatwa kwa jua (Solar eclipse) na vile vile kupatwa kwa mwezi (Lunnar eclipse). Je unafahamu kuwa kuna kupatwa kwa Satellite...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
TANZANIA imefungua ukurasa mpya wa kuwa na watalaamu wa ndani katika taaluma ya kuzalisha umeme baada ya kikundi cha watu 20 kufanikiwa kutengeza mtambo wa kuzalisha umeme wa upepo. Mtambo huo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Windows XP Professional allows to connect via TCP/IP from other systems to your XP Professional system , operating the Windows XP system remotely : Example #1: you are at home and need to work...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukiwasha radio yako sasa hivi kila dakika 30 hivi utasikia kampuni fulani ya simu ikitangaza punguzo la bei kwa huduma zake za mawasiliano haswa mawasiliano kati ya wateja wa kampuni moja na zile...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanabodi, Kizuri kula na wenzio! Naomba pia kuchukua fursa hii, kuwapa kizuri hiki nilichokutana nacho. Ni kujipatia internet ya karibu na bure, kwa kupitia simu yako ya mkononi. Kwa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Hello guys, i need ur help. My flash disk doesnt copy, pasteeven to format, it give the message remove write protection. How can i remove it
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MyBB has experienced an internal SQL error and cannot continue. SQL Error:1203 - User bbafrica_forum1 already has more than 'max_user_connections' active connectionsQuery:[READ] Unable to connect...
0 Reactions
7 Replies
42K Views
$149.00 - $875.00 Compare prices iPhone 4 16GB Black Smartphone - AT&T 447 ratings|66 reviews While everyone else was busy trying to keep up with iPhone, we were busy creating amazing new...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hamjambo wana jf? nilikua nauliza je kuna offisi za google tanzania?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
naombeni msaada. siwezi kuaccess some websites kama za udsm,open university of tanzania na za baadhi ya vyuo vingine vya hapa tanzania,na leo nimejaribu kuaccess ya tra nayo nashindwa kufungua. i...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Fujitsu wakionyesha jinsi walivyoweza kuziwasha taa ndogo mbili bila ya kutumia waya wowote Saturday, September 18, 2010 1:13 AM...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…