Jinsi ya kutest kama ani virus yako ya ukwelii

Zasasule

JF-Expert Member
Aug 12, 2009
1,001
103
HII ni njia ya kutest kama anti virus yako ya ukweli ama la
ukiona imeona virus ujue iko mzuka,ukiona kimya ujue kimeo hiyoooo

tengeneza new text document. halafu copy maneno haya.
X5O!P%@AP[4\PZX54(P^)7CC)7}$EICAR-STANDARD-ANTIVIRUS-TEST-FILE!$H+H*
ukishacopy nenda kwenye file katika option ya kusave na uchague save as kisha andika jina.EICAR.COM halafu save
baada ya hapo fungua hiyo command uliyosave

kwa english ni hivi

1. Open a text editor (e.g. Notepad)

2. Enter the following text in it:

3. Save the file as EICAR.COM on your desktop.

4. Open DOS and try to execute this .COM file (or simply double-click the file on Desktop)

If your anti-virus software is working properly, it will warn you that a virus has been detected when you attempt to run the .COM file.
 
mmmm mkuu umeitoa wapi hii isije ikawa ndio natengeneza kirusi chenyewe kwa kufanya hivyo, hebu nitoe hofu maana nimetumia ant virus nyingi lakini wapi
 
Mkuu hi siyo njia FEASIBLE ya kutest virus.
Kuna kitu kinatwa False positive and false negative detection kwenye virus.

Na watu wengi wasiojua wanahisi ativirus zao ziko super kumbe zintumia logic ambazo sio tishio. Mfano ni Key generator na huo mfano wako ni mmoja wao. Hiyo detection uliyoweka ni FALSE POSITIVE.

So kudetect kitu kama tishio wakati sio tishio haina maana hiyo ni virus nzuri.

Kitu pekee kinachofanya kuwa na virus super ni kuwa na updated virus definition engine. Utashangaa kuwa hilo file juu likawa detected hata na virus engine ambayo haijawa upadate kwa mwaka????

Attact, threat zinakuja katika forms tofauti so usiamini kwa 100 % hiyo test hapo juu.
 
Kweli ni KIRUSI. Ila kwa McAfee yangu KIMEZODOLEWA!!!
 
Nimekusoma kijana? Kweli hapo kuna utata. VP kama AV yangu haikuwa updated kwa muda mrefu? Huyu Mwana JF inabidi atuweke sawa. Vinginevyo na wewe papaa zingatia tofauti ya virus na anti-virus. Maana kwenye comments zako umetumia neno virus kama kumaanisha anti-virus.
 
mmmm mkuu umeitoa wapi hii isije ikawa ndio natengeneza kirusi chenyewe kwa kufanya hivyo, hebu nitoe hofu maana nimetumia ant virus nyingi lakini wapi

Usiogope kijana. Wanaotengeneza virus ndo wanaotengeneza na kuuza antivirus.

Jamaa kamwaga upupu wa maana = Teknomaarifa
 
Mimi natumia E set,iko bomba saana kuliko hizo nyingine.kwanza E set siyo nzito.hizo anti virus nyingine nbi nzito ile mbyaaaa hadi zinafnya mashine inakuwa nzito time nyingine
 
Tatizo tumezoea vitu vya free edition
 
Back
Top Bottom