Jekuna offisi za Google nchini Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jekuna offisi za Google nchini Tanzania?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mrlonely98, Sep 18, 2010.

 1. m

  mrlonely98 Member

  #1
  Sep 18, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hamjambo wana jf? nilikua nauliza je kuna offisi za google tanzania?
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  naskia kuna dogo consultant amepewa hiyo kazi, sijui kama wameshaestablish hiyo ofisi
   
 3. M

  MkenyaMzalendo Senior Member

  #3
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Google ina afisi tatu pekee barani Africa

  Cairo
  Nairobi (Africa HQ's)
  Johannesburg

  :)
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  nadhani kama ni search engine (Servers) zinazomilikwa na google 100% kwa africa google zipo south africa tu. Yaani hata wafanyakazi wameajiriwa na google.

  sina uhakika lakini nadhani Hizi nchi nyingine kama Kenya, Nigeria, Egypt wanaweza wakawa na ofisi zenye watu wa marketing na sales tu au wakashirikiana na baadhi ya taasisi za IT. ila wakenya wanatuacha.
   
 5. M

  MkenyaMzalendo Senior Member

  #5
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona watu hupenda kusema maneno ambayo hawana uhakika ni ya kweli? Utatumia mda kidogo tu kudhibitisha ukweli wa mambo kutpitia google search engine.

  Africa - Jobs - Google

  Hata naona mkurugenzi mtendaji wa Google Afrika ni Mkenya
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Powa mkubwa nimekuelewa lakini mimi nasema kama sina uhakika au sijaelewa kitu vizuri. Hata kama nimekisoma. nikisema sina uhakika ni kuwa ningependa kuelimishwa zaidi na kuhakikishiwa. Ndio maana tunatembea sehemu kama hizi.

  Hii link nimeiona lakini nilichokuwa nasema sina uhakika ni kama google wana , Servers ,administrator waliopo kenya au cairo.Ni kitu sina uhakika nacho. I mean hawa wafanyakazi waliopo kenya, kampala, Acrra wakiwa wanafanya kazi zao kwa africa server zenye data ziko wapi?


   
 7. M

  MkenyaMzalendo Senior Member

  #7
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingawa haina haja kujadili server za google zi wapi (maanake mwazilinshi wa topic hii anataka kujua tu kama Tz Kuna afisi za google), kwa kukujulisha tu server za google cache zimo Kenya na Mauritius na South Africa, na kuna mipango ya kuestablish google Point of Presence (POP) katika nchi za SA, Nigeria na Kenya mwakani.
   
Loading...