Database profeesionals. What does this MySQL error mean | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Database profeesionals. What does this MySQL error mean

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Sep 20, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  MyBB has experienced an internal SQL error and cannot continue.
  SQL Error:1203 - User bbafrica_forum1 already has more than 'max_user_connections' active connectionsQuery:[READ] Unable to connect to MySQL server Please contact the MyBB Group for support.


  Nimekuwa natembealea webiste ya bigbrother na kukubamna na ujumbe huu mara kwa mara.


  kabla sija google nilipenda kuwauliza wataalam wenye practical experince na MySQL database engine.

  • Je hiyo maximun active user connection inayoongolewa ni user wangapi?
  • Is there a work arround to this problem?

   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  First off MySQL DBA is not my expertise so what I will say may not be very specific.

  Either the forum you are connecting to has reached it's maximum number of allowed concurrent connectopns as designated by the DBA/ Webmaster, or there is a lock that is not releasing logged off users, making the count higher with every new logon.

  In the first case the DBA/ Webmaster / host can increase the number of concurrent connections, depending on the sites capacity and any possible license issues. If this is a hosting related issue you may need to talk to your host.

  In the second case they will need to restart the SQL service and or count.

  Also try to see if the host supoorts persistent connections, it could be as easy as turning the persistent connection from TRUE to FALSE.

  All these are server side issues and you cannot do much (other than reporting) unless you are the server side admin.
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kiranga, mimi kama wewe, MySQL is not my expertise.

  But would like to point that, Mtazamaji is asking this from Mtazamaji's (website visitor's) standpoint, well, at least that is how I understood him/her. Hivyo basi, explanation yako kama nilivyo isoma ina cover angle ya webadmin/master badala ya normal visitor to a site, albeit, valid.

  Kwako ndugu Mtazamaji, kwa kuzingatia maelezo ya Kiranga; mimi nadhani tatizo hilo linaweza kutokana na shared IP address. Yawezekana IP unayotumia iko shared na watu wengi. Na katika kujaribu kuzuia denial of service attacks, hao wenye website ya big brother wameweka limitation ya number of concurrent requests zinazo originate kutoka kwenye IP moja (yenu). Au pia kama hao jamaa wenye site wanakuwa wana detect malicious activity kutoka kwenye kundi la IP fulani hivi, kama vile kurecord show etc.. wanaweza kuwa wameban IP.

  Maximum user - maelezo ya kiranga yanatosheleza.
  Work around upande wako kama visitor- kama ni site ya ku-login, jaribu kulog out then log back on, au restart computer. Pia kama hilo halifanyi kazi, jaribu kujua kutoka kwa ISP wako kama IP yako ni shared. Kama ni shared na tatizo linaendelea, yawezekana jamaa wa-bba wame implement black-list na kuban access kwa IP zenu au kuweka limit ya hits kutoka IP hiyo (maelezo ya Kiranga). Unaweza pia kujaribisha kutembelea site hiyo kupitia komputer ya pahala pengine, i.e. IP tofauti. Good luck.
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kiranga, sorry... your last line went unnoticed. Kumbe ulishalishema. My bad!
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Thank you mkuu kiranga na Steve dii kwa maelezo safi . Pia nina little knowlenge ya MySQL server an Micrsoft SQL server engines.

  Sikujua kama Databaser server kama MySQL ambayo ni Open souce inaweza kuwa na Limitation ya connections. Sasa najiuliza hili tatizo upande wa database server. I thouth hii inaweza kuwa ni case kwa Microsoft SQL server

  • Sasa hii number ya concurent connection inayofanya iwe maximum ni ngapi? I mean napenda nijue on the back ground/ server side what is real happening Technically at that MQSQL server engine.
  • Inawezekana hii server ina run kwenye Limited number of connection katika level ya ambayo ndo imefikia maximum?
  Yaani niko curious kujua hata nikirepot kwa DBA wa hiyo site watafanya nini? As a junior IT professional napenda kujua.

  NB:
  kwenye hii site nakuwa natembealea kama unregistered visitor. Home page inafunguka vizuri ila baada ya hapo ndo makasheshe hayo.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni error ya MyBB forum software kutokana na watu wengi sana ku-connect at the same time. Sidhani kama kuna njia ya kusolve zaidi ya kuongeza capacity.

  MyBB Community Forums - SQL Error
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hao watu wengi ndo nilipenda kujua MYSQL limitation yake ni cocueent conection ngapi?
   
 8. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu, sidhani kama kuna limitation. Inategemea na ukubwa wa server yako tu.

  Kuna sites nimecheki kujaribu kuchunguza swali ulilouliza. Nyingi zinaonesha kuna default values za 10 - 250 and sometimes 500. Lakini access to db tables can be altered to suit particular need and in line with your server resources.

  Nita nukuu hapa chini, just in case those sites ever become defunct:


  Source: Increase MySQL connection limit | Racker Hacker

  Source: MySQL Concurrent Connection Limit - Web Hosting Talk

  Note: quotes contain ads and links to other sites, to be edited.
   
Loading...