Ge force GS 7600 graphic accelerator card | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ge force GS 7600 graphic accelerator card

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by geprony, Sep 21, 2010.

 1. geprony

  geprony Member

  #1
  Sep 21, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Hello wadau
  Nimepata PC tower ambayo nafikiri jamaa alikuwa anaitumia kwa Games maana weka graphic card ku enhance pictures.Tatizo ni kuwa nimejaribu kuiwasha hakuna image sent to the screen,nikaitoa graphic card na kujaribu on board graphic card no image na power inakuwa inakata every second kama inataka kuwa lakini inazima. Keyboard light haziwaki na kwenye screen napata message no input device in both scenarios with or without Ge force card wadau naombeni ushauri.
  Geprony
   
 2. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jee waweza ingia kwenye BIOS ? kusaidiwa hapa itategemea zaidi uwezo wako upo kiwango gani katika masuala ya kucheza na PC. Jinsi ulivyouliza hili swali kama vile umeshagundua ni Graphic card issue ? Yaweza kua processor, yaweza kua motherboard (mainboard). Toa info zaidi errors gani unapata au beeps (milio/sauti) gani inatoa unapowasha, kama inawaka etc... huenda ukapata msaada haraka. Ukiweza kusoma hizo errors, google utawaweza kujua wapi uanzie
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Just a guess
  Imput device ya muhimu kwenye pc ni KEYBOARD. Bila mashine kudetect na kuhakikisha drivers za keyboard ziko sawa inaweza isiwake.
  Na kutokana na erro unayoripoti inawezekna keyboard hujaipachika vizuri.

  kama ni serial port keyboard za usije ukawa umeipachika kwenye port ya kipanya.

  Ni aina gani ya keyboard unatumia na hiyo tower pc ni brand gani.?

  Lakini vile vile umeeleza matatizo mengi kama power inakata kata hilo ni tatizo tofauti.Inawezekana ni failure ya power supply

  Kama una CD ya OS yeyote jaribu kufanya fresh OS installation . Inaweza kusaidia kuondoa kama kuna conflict ya devices kushare resurces za kompyuta hasa memory.. Unaweza ku google mamo ya IRQ ujue zaidi
   
 4. geprony

  geprony Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Hi de javu
  Nimekupata ndugu nimejaribu kuitest mother board kwa kuremove hard and memory kuona kama itabeep lakini no beep na on board fan inawaka,sijui motherboard ndiyo kimeo tower ni HP Pavilion model t741.uk, naomba ushauri kuhusu njia nyingine ya kutest motherboard kama hiyo niliyofanya sio nzuri please,nitajaribu ku google jinsi ya kutest processor pia nione tatizo ni nini.
   
 5. geprony

  geprony Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Hi Mtazamaji
  nimekupata nahuhakika nimeinstal kwenye right port tower is HP Pavilion model t741.uk,nina cd ya OS lakini tatizo ni image on the screen.hivyo siwezi fanya lolote
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkubwa kama ni Hp huwa nawapendea kitu kimoja wana website yao ina support information nzuri sana na iko friendly .

  Cheki hii link Monitor or Video Card Troubleshooting, Tips, and Information HP Pavilion t741.uk Desktop PC - HP technical support (United Kingdom - English).

  • Naona kwa maelezo ya hawa jama pia monitor inaweza kuwa tatizo pia. Kama sio minitor ilikuwa originally designed kwa pc.
  Tatizo kubwa ulilonalo ni hiyo ngoma inaonekana ina tatizo zaidi ya moja.

  Ila kama ulitoa gforce card bado matatizo au tatizo likabaki vile vile hiyo inaweza kuwa proof kuwa kadi uliyotoa sio tatizo. na nahisi unatatizo la Hardware na sio Software.

  Kama taa za keyboard kweli haziwaki kabisa Motherboard inaweza kuwa ina tatizo. Sababu ukibonyeza power buuton kitu cha kwanza kufanyika ni BIOS (Basic Input Output System) ni kufanya POST( Power on Self Test)

  Na kazi ya POST ni kuhakikisha hardware zote za muhimu ( Keyboard ) zinafanya kazi vizuri
  http://www.basicinputoutputsystem.com/

  Vilevile Katika kujaribu kujua nini hasani tatizo u might want to know the BOOT UP process. google it inaweza kukupa mwanga.

  Altenatively
  kujua kama motherboard imekufa jaribu kutoa CPU. then washa PC.
  Ukitoa CPU ukawasha na usisikie beep basi "mama ubao" atakuwa marehemu.

  Unaweza kujaribu kutoa RAM zote pia uone ukiwasha bila RAM inakuwaje.
  Note kuna aina ya RAM tofauti tofauti na kutumia type ya RAM isiyofaa kunaweza kusababisha mauza uza Hakikisha na google ujue RAM unazotomia zinaruhusiwa na motherboard husika.

  Thanks kwa changamoto umenifanya nijikumbushe mambo ya boot up process

  Good luck
   
 7. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  jaribu kuichomoa hiyo graphics card.na utumie default ya kwenye motherboard.inawezekana there is a hardware conflict.thats why
   
 8. geprony

  geprony Member

  #8
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  asante mtazamaji pamoja na msaada umenifanya nicheke kidogo et mama ubao kweli wewe mtaalamu wa lugha anyway nitao cpu nione kama mama ubao mzima thanks
   
Loading...