Pata Internet Karibu na Bure, kupitia Mobile Phone Yako!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pata Internet Karibu na Bure, kupitia Mobile Phone Yako!.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Pascal Mayalla, Sep 19, 2010.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,578
  Likes Received: 18,524
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,
  Kizuri kula na wenzio!

  Naomba pia kuchukua fursa hii, kuwapa kizuri hiki nilichokutana nacho.

  Ni kujipatia internet ya karibu na bure, kwa kupitia simu yako ya mkononi.

  Kwa kutumia simu za N.Series, kama wewe unatmia mtandao wa Zain, ondoa sim card yako ya Zain, nunua sim card ya Voda, itakudirect namna ya automatic set up ya internet na email zako utazipata instant kama kwenye blackbery, ikishajiset, chomoa hiyo sim card ya Voda, rudisha sim card yako ya Zain, utaona e-mails huzipati tena direct, nenda kwenye internet, ukiconnect, itakuuliza, connect through vodacom?, maana ndio iko confugured, wewe click yes, itaku connect straight kwenye 3G ya voda kutumia sim card yako ya Zain, stay as much as you need, then check balance, utakuwa surprised kukuta ni negligible!.

  Enjoy freedom of information at most afordable rates!.

  Angalizo:sijajaribu kwa kutumia simu nyingine, au kuitest mitandao mingine,pia imework for me, sijajaribu kwa wengine. Wataalumu wa teknolojia ya mitandao wataweza kutufafanulia zaidi, but its almost free ride!.

  NB. Msiwaulize wenyewe, wasije wakablock uhuru huu, kama enzi zile za simu za vibandani za TTCL, unapiga wrong number, ukishajibiwa na answering machine, try another number, unatwanga trancall kwa local rates!, mijitu ikaanza kujazana, foleni ndefu mpaka wenyewe wakashituka, wakavifungilia mbali vibanda vyao!.
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Hapa ndipo penye shaka yangu...maana watanzania kwa bure ww...!
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,578
  Likes Received: 18,524
  Trophy Points: 280
  Janius, kwenye hili la access to information, issue sio kupenda dezo, ni issue za affordability, huwezi amini, wakati nikireport uchaguzi mdogo wa Busanda na Biharamulo kupitia simu yangu kwa mtandao wa Voda, bili ilikuja zaidi ya 500,000 per month! (natumia post paid).
  Sasa kama unaweza kusave kwenye hili, kuna ubaya gani?.

  Afterall nadhani pia hii ni njia muafaka ya kugawana nao haka ka faida kidogo, nasi tufaidi maana wengine hatuna utamaduni wa kucheza bahati nasibu zao ytukajishindia yale mazawadi yao ya mpaka magari, hivyo acha tuu tujifariji na hutu tujizawadi twa furii internet!
   
 4. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hamna kitu mkuu natumia n958gb, baada ya kueka line hakuna chochote kilichoendelea.
   
 5. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pasco, Asante sana mkuu... Mimi nimejaribu kwenye Nokia E71 imekubali, Ina speed nzuri ile mbaya..... Hofu yangu ni kwamba wakishtukia tu wanaiblock. Pia ngoja ni jaribu kui-connect na Nokia pc suite nione kama naweza kupata connection kwenye laptop yangu.
   
 6. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nadhani Simu yako itakuwa tayari na configuration setting za Voda ndio maana hawajakutumia tena, pia Saa nyingine voda ukiomba configuration setting wanakuambia tayari ulikwisha tumiwa hivyo hawawezi kukutumia tena, pole sana kwa hilo mkuu.
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,578
  Likes Received: 18,524
  Trophy Points: 280
  BinMgeni, nenda step by step kama ifuatavyo.
  1.Chukua simu yako ya N-Series, ambayo tayari inakuja na Nokia Ovu Suite, pamoja na maprogram yote ya Opera Mobile, Dolphin HD, xScope Lite, Skyfire, Infinity na mazaga zaga kibao.
  2. Weka sim card ya voda, nenda kwenye set up, itakupa automatic configuration ya internet, utaset your e-mail, face book, twiter, skype etc. set ikishakubali, utaona page ya e-mail zako, page ya facebook yako, etc, kama kwenye blackberry. Ina maana simu yako inakuwa iko cofigured moja kwa moja kwenye internet kila ukiwasha, nokia wanakuambia huduma hiyo ni bure, huku voda watakuchaji kama kawa.
  3. Ondoa simcard yako ya voda, weka simcard yako ya zain, washa simu. Cha kwanzautaona zile active windows za e-mail, face book hazipo, kwa vile sasa ile connection ya voda haipo. Check balance yako ya voda note down.
  4. Nenda kwenye browser ya internet, ukiclick tuu itakuuliza connect through vodacom internet? just double click hiyo link, itakuconect moja kwa moja namtandao wa voda kupitia sim card yako ya zain, hapo surf kwa raha zako, nenda kwenye ma website na ma web site, shinda JF kwa masaa. ukijiona umetosheka, cheki tena balance yako, angalia umetumia kiasi gani.
  5. Enjoy!.
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,578
  Likes Received: 18,524
  Trophy Points: 280
  Mganyizi, mimi sijajaribu kwa laptop, ila pia nina pre paid ya vodacom blackbery, internet ni bure 24/7, ila ukiconect kupitia laptop, bili ni kama kawa, ile bure inapotea, sijua wanafanya uchawi gani, ukiconnect kupitia blackberry enterprise ya simu ni bure, nimeinstall blackbery interprise kwenye laptop, ukichomeka tuu blackbery inaiona, na ukiconnect ni amaizing speed, kuliko hizi 3G za voda, tatizo ni mwisho wa mwezi, bili kubwa!.
   
 9. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Pasco, kwanza nikushukuru kwa moyo wako mwema wa kushirikisha wanajamii katika 'vinono' ukumbanavyo. Ni jambo jema na la kupongezwa. Hongera!

  Pili, hapo juu naomba kusahihisha... Kwenye Ovu Suite ya Nokia (sawa sawa na App store ya Apple, au Android Market ya Google for Android phones), browsers zilizopo na zinazojulikana ni Opera Mobile au Opera Mini, Skyfire na UC Browser. Hizi tatu zote ni bure. Kuna Y-Browser ambayo ni ya kulipia, pia kuna moja au mbili nyingine kwa ajili ya very specialized tasks. Hizi zote ni kwa ajili ya Nokia zinazotumia operating system ya Symbian 60 (commonly known as s60). Kumbuka Nokia wana Symbian 3 sasa hivi, ni mpya (kama sijakosea iko kwenye simu mpya ya E6). Pia Nokia wana Maemo ambayo wameitumia kwenye N900 (simu ya majaribio hii but with a very good potential on touch screen handsets). Hizi browser kwa vile ziko kwenye Ovu Suite, yawezekana kabisa zikafanya kazi kwenye nokia zinazotumia Maemo au Symbian 3 oses but not a guarantee.

  Basi hapo juu baadhi ya chache ulizozitaja, napenda kusema ni kwa ajili ya simu zinazotumia Android operating system na si Nokia. To be specific, Dolphin, Infinity and xScope. Of course these may appear on Ovu Suite in the future as developers tend to customize and port their apps to various platforms with time.
  Regards.
   
 10. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Wakuu, inabidi mchunge sana... richa ya Voda kuweza ku- disable hiyo feature, yawezekana kabisa kujikuta jamaa wa Zain nao wanacharge "data roaming" fee kwa kutumia network yao ku-access vodacom data services. Hebu jaribuni kucheck kama bill za Zain zinabakia hivyo hivyo... (just a precaution).
   
 11. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #11
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Asanteni kwa ubunifu. Sasa fanyeni ubunifu zaidi kuwawezesha Watanzania kupiga simu bure!
   
 12. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Pasco huu ni ufisadi. Hamtendei haki makampuni ya simu, unapowafundisha watu njia za wizi wazi wazi hivi. Au ni njia ya kuwaonyesha teknohama ya kitanzania?
   
 13. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Mkuu kwa nini na sisi tusifaidike wakati na wenyewe wanaikandamiza nchi??Sio RAIS sio hao watu, kwa hiyo kila mtu anakula kwa mda wake......
   
 14. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  mkuu wewe upo southernchina huko net ya karibu na bure wacha wanyonge tufaidi na sisi huku..
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ndio yale yale ya file sharing na illegal downloads JF..hii inaweza kuiweka JF matatani.
   
Loading...