Wadau naomba msaada wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau naomba msaada wenu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Anniem, Sep 21, 2010.

 1. A

  Anniem Member

  #1
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nimemaliza chuo mwaka 2007 Advanced diploma in IT.Katika kipindi chote mpaka sasa sijabahatika kupata kazi ya proffessional yangu.nimejikuta nafanya part time job.Imefikia kipindi nimeanza kusahau hata nilivyosomea.naomba msaada wenu kama naweza kupata walau sehemu ya kujikumbushia computer. kwani hata nikiitwa kwenye interview nahisi naweza feli kwenye maswali ya technical
  mwenye msaada unaweza tumia annieba@yahoo.com
   
 2. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Annieba,
  Ambatanisha basi area in IT uliyojifunza na your interests za hii fani ya IT, hapo utaweza kupata msaada na maelezo zaidi kwa wadau.
   
 3. A

  Anniem Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
Loading...