Habari wanaJF?, Natumai mko poa Sana, mwenzenu Nina changamoto Nina simu ya Aina ya infinix, hapo mwanzo nilikua nakonnect vizuri kwenye computer.
Sasa hivi karibuni nimekonnect Mara kadhaa...
Netflix itaanza kuzuia watumiaji wasitumie password za watu kuanzia robo ya kwanza ya mwaka huu (Q1). Hivyo inamaanisha mwezi wa tatu ni mwisho wa kutumia password za watu ambao hampo katika...
Tangu nianze kutumia hii simu ya Sumsung A23 Na Waya wa type C upande wa kuhamisha data umekuwa Changamoto kwangu tofauti na Kawaida.
Msaada tafadhali.
Habari za leo wandugu!
napenda kushirikishana nanyi jambo moja ambalo yamkini wengine walishalizungumzia au wanalifanya lakini sio mbaya na mimi nikiligua kwa nafsi yangu.
kwa kipindi hiki cha...
Wakuu,
Nafikiri kwenda kununua simu, bajeti yake iko around 300k to 400k.
Hapa najiuliza wapi nikanunue, Kariakoo au Mlimani City?
Vitu vya kuangalia;
• Simu na bei
• Usalama wa simu
• Kupigwa...
Sony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon.
Nichukue brand ipi iwe alpha na...
Habari za asubuhi wandugu poleni kwa majukumu ya hapa na pale Mungu atawapigania Siku yenu itakuwa njema kabisa.
Tuwaombee Dua wagonjwa wote waweze kupata nafuu na kurejea kwenye shughuli za...
Hello bosses,
Kwenye maisha mara nyingi tunaamua kufanya kitu fln au kujenga hobby fln kutokana na kuona mambo yanayotuhamasisha kufanya hivyo.
Kwa wale coders, hackers au IT professionals ni...
Habari,
Kila nikifuatilia tangu uzinduzi wa samsung s23 jukwaa limekua kimya sana kuhusu hizo simu mpya. Kwa maoni yenu je, Samsung wameboresha katika upande gani wa hizo simu?
Au hakuna...
Kampuni ya Apple imetoa ripoti yake ya mauzo ya robo yake ya kwanza ya mwaka 2023 iliyomalizika December 31. Roho ya mwaka ya Apple ni tofauti na robo mwaka ya nchi na makampuni mengine; Hivyo ni...
Nimegawa Brands katika makundi mawili. Kundi A na kundi B. Nimezingatia ukongwe au Umaarufu duniani katika makundi haya na Bei zake.
A.
Samsung
Panasonic
Sony
Hitachi
JVC
LG
SANYO
( TCL na...
Wakuu nipo na tablet Nokia T20 tablet hapa, nilikuwa naistall programs kwenye hii tablets..sasa nimepata shida jinsi ya kuiafany hii tablets niweze kupokea na kupiga cimu, pia kuweza kutumia...