D dr lumilo JF-Expert Member Joined May 26, 2016 Posts 271 Reaction score 68 Feb 2, 2023 #1 Wakuu na wajuvi wa haya maphone naomben msaada jinsi ya kudownload Betpawa kwenye iPhone mana nimehangaika toka asubuhi nimeshindwa.
Wakuu na wajuvi wa haya maphone naomben msaada jinsi ya kudownload Betpawa kwenye iPhone mana nimehangaika toka asubuhi nimeshindwa.
Binadamu Mtakatifu JF-Expert Member Joined Oct 12, 2018 Posts 4,429 Reaction score 9,308 Feb 4, 2023 #2 Hakuna mobile app kwa ios unaweza kuiadd kwenye screen for fast access