Wakuu,
Nafikiri kwenda kununua simu, bajeti yake iko around 300k to 400k.
Hapa najiuliza wapi nikanunue, Kariakoo au Mlimani City?
Vitu vya kuangalia;
• Simu na bei
• Usalama wa simu
• Kupigwa cha juu kwa simu ya kawaida
Simu ipi itafaa zaidi kwa bajeti hiyo kutoka Samsung, Google Pixel and Oppo?
Nawasilisha