Samsung S23 imeboreshwa kitu gani?

Samsung S23 imeboreshwa kitu gani?

Likasu

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
857
Reaction score
441
Habari,

Kila nikifuatilia tangu uzinduzi wa samsung s23 jukwaa limekua kimya sana kuhusu hizo simu mpya. Kwa maoni yenu je, Samsung wameboresha katika upande gani wa hizo simu?

Au hakuna mabadiliko makubwa kulinganisha na s22?.
 
Bado ni mapema sana,lakini hata hivyo simu imekuja kinyume na matarajio ya wengi.

Samsung wamekuwa vinara kwa miaka mingi kutoa simu zenye features mpya kila toleo, lakini mwaka huu mabadiriko ni kidogo sana, kuanzia muonekano ultra model ni kama 22 ultra ya mwaka jana kabisa, atleast kuna 23 plus mpya, na 23 plain ambayo iko tofauti kidogo ktk camera na toleo lililopita 22.

Ingawa battery ni sawa kwa ultra models, lakini chip mpya imeonyesha ulaji mdogo wa umeme ukilinganisha na toleo lililopita, kuna nyongeza ya saa zima na zaidi kwa ukaaji wa charge.
 
Bado ni mapema sana,lakini hata hivyo simu imekuja kinyume na matarajio ya wengi.

Samsung wamekuwa vinara kwa miaka mingi kutoa simu zenye features mpya kila toleo,lakini mwaka huu mabadiriko ni kidogo sana,kuanzia muonekano ultra model ni kama 22 ultra ya mwaka jana kabisa,atleast kuna 23 plus mpya,na 23 plain ambayo iko tofauti kidogo ktk camera na toleo lililopita 22.

Ingawa battery ni sawa kwa ultra models,lakini chip mpya imeonyesha ulaji mdogo wa umeme ukilinganisha na toleo lililopita,kuna nyongeza ya saa zima na zaidi kwa ukaaji wa charge.
kumbuka wamekuja na camera ya 200MP
 
Hata One Plus 11 ni simu Kali sana na imeshatoka tayari ila watu bado hawajaanza kuiongelea. Subiri muda ufike mambo yatajileta tu yenyewe[emoji2960][emoji2960]
 
Back
Top Bottom