The Master pizo
Senior Member
- Dec 18, 2019
- 149
- 125
Habari za asubuhi wandugu poleni kwa majukumu ya hapa na pale Mungu atawapigania Siku yenu itakuwa njema kabisa.
Tuwaombee Dua wagonjwa wote waweze kupata nafuu na kurejea kwenye shughuli za kunufaisha familia.
Basi baada ya kutakiana Heri naomba leo nilete uzi ambao nitafundisha BBMA strategy kuanzia mwanzo kabisa na nitajitahidi tuimalize, Hii ni kwa wale wenye elimu ya basic ya forex na niwasihi sana usianze kusoma strategy kama hujui basic utapoteza pesa yako.
BBMA
BOLINGER BAND & MOVING AVERAGE
=> Strategy hii hii pia inafahamika kwa jina la GURU strategy
=> Mwanzilishi wa strategy hii anafahika kwa jina la OMA ALLY mtu wa Malaysia huko
BOLINGER BAND
=>Bolinger band ni indicator yenye mistari mitatu.
(a) Top Bolinger band {TBB}
=> Hii hutumika kama Resistance
(b) Middle Bolinger band {MBB}
=> Hii hutumika kugawanya uptrend na downtrend {increase and decrease}
(c) Lower Bolinger band {LBB}
=> Hii hutumika kama Support
tazama picha hapo chini
HIVYO
=> Candle zikiwa zinatembea juu ya middle bollinger band hiyo ni Uptrend na zikiwa zinatembea chini ya middle bollinger band hiyo ni downtrend
=> Kiujumla BB ni technical tool ambayo inatumika kama dynamic Support and Resistance.
WHY DYNAMIC?
=> Because BB lines changes according to the power of the market
=> BB ina sheria inayoitwa BOUNCE
Bounce ni kudunda kwa kitu ila katika BB tunaiangalia kwatika price yaani Price huwa haivuki nje ya BB lines.
=> The fact is BB lines are Zones na zones siku zote zina tabia ya kureject price.
tazama picha chini
=> So candle zitakuwa zinatembea ndani ya TBB na LBB
=> Ikitokea zimevunja BB yaani zimefungia nje ya BB kuna jambo ambalo litatokea
kumbuka hizi ni zones na zina tabia zote za zones
{1} Ku acttract price toward it.
{2} Baada ya ku acttract price ikifika karibu yake zone inafanya usaliti au tunasema inafanya price rejection inaisukuma price irudi ilikotokea.
WAJUBA TUTAENDELEA ................