Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,292
- 5,237
Mnisaidie wakuu mlio na uelewa wa brands hizo.
Chukua Hisense usipoteze muda mwingi, apart from durability between 2 brands, hisense hata muuonekano wa bidhaa zake hasa fridge upo so nice!!Mnisaidie wakuu mlio na uelewa wa brands hizo.
ThanksChukua Hisense usipoteze muda mwingi, apart from durability between 2 brands, hisense hata muuonekano wa bidhaa zake hasa fridge upo so nice!!
ThanksHisense
Ukichukua utanambia nije nikuunganishie🙄Thanks
Hizi product za sasa majina/ brands ndizo tofauti tu lkn parts na teknolojia iliyotumika ni ile ile. Mfano hayo mafrij yote. Compressor mzalishaji ni mmoja, pipes za Gesi mtengenezaji mmoja so.Mnisaidie wakuu mlio na uelewa wa brands hizo.
Kuunganisha nini mkuu wanguUkichukua utanambia nije nikuunganishie[emoji849]
Nafikiria la 269litres 1.1mHisense mzuri sana ukipata la 1m or 700k
Umeme na fridge guard jaman CPA Finacial Analyst!Kuunganisha nini mkuu wangu
Wewe ni mwana-yanga![emoji3]Brand Kali ni Haier
Ahhahahahahh haya certified electricianUmeme na fridge guard jaman CPA Finacial Analyst!
HisenseMnisaidie wakuu mlio na uelewa wa brands hizo.